Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,327
Ukivaa oversized hivyo unapaswa upewe kikombe cha babu wa Loliondo na kiazi mbatata ushushie. Hahahahaaa!Nikivaa suti oversize Na kanzu oversize Huwa napendeza sana
Ukivaa oversized hivyo unapaswa upewe kikombe cha babu wa Loliondo na kiazi mbatata ushushie. Hahahahaaa!Nikivaa suti oversize Na kanzu oversize Huwa napendeza sana
Doubtlessly wewe ni mwenyeji wa Chuttle.Nikivaa suti oversize Na kanzu oversize Huwa napendeza sana
Ewaaa,,,Kama hivi?
View attachment 730548
Enheer! Bas naomba kuwa rafiki yakoEwaaa,,,
Hahaaaaa,,,Sema naomba niwe mjukuu wako,,Enheer! Bas naomba kuwa rafiki yako
Napendaga watu wanao pendeza hvo.
HahahahHahaaaaa,,,Sema naomba niwe mjukuu wako,,
Jirani unapenda sana nguo za kitenge
Mapigo haya ni ya machalii ya ROld skuliView attachment 730583
Uje na kapicha mpenzSijui hata. Ila nipe kazi baadae nikitoka nitajicheck halafu nitaleta mrejesho. Hahahaaaa.
![]()
![]()
![]()
![]()
Nikipiga hvyo vipi?Mapigo haya ni ya machalii ya R
Naona unateleza mule muleEnheer! Bas naomba kuwa rafiki yako
Napendaga watu wanao pendeza hvo.
Hahaaaaa,,,Sema naomba niwe mjukuu wako,,
Avatar yako imemaliza kila kitu mpenzShort dresses na high heels najionaga nimemaliza,mi ndo mimi![]()
View attachment 730865View attachment 730866
Hahahaha hapanaNikipiga hvyo vipi?
Alafu vufungo vya suti vikapishana kama Vaa ya Wassira...hakika unapendeza!Nikivaa suti oversize Na kanzu oversize Huwa napendeza sana
wenzetu wanajiamini na mironjo yao.!Short dresses na high heels najionaga nimemaliza,mi ndo mimi![]()
View attachment 730865View attachment 730866
Weka pichaJeans slim fit (long pant) + long sleeve shirt + simple shoes = perfect![]()