Ukivaaje unapendeza

Ukivaaje unapendeza

Napendelea suruali za vitambaa,si za kubana kama zile za wahuni na si za kupwaya sana kama zile za walokole.
Mashati ya mikono mirefu kisha nakunja kidogo kuruhusu saa ionekane, na chini napendelea viatu visivyo na visigino jamii za sebago.
 
Nikivaa gauni langu refu mpaka chini na kiatu kirefu kidoogo bila kusahau mtandio juu basi hapo najiona niko bomba sana yaani.
Nimejenga picha nikaona jinsi ulivyopendeza,hongera sana mkuu.
 
jeans ni suruali za kazi badala ya covaroli au za kuendea safari miezi haitaji kufua sisi ndio tunatokea kuna hotel zingine majuu huruhusiwi kuingia na jeans hata bunge letu minguo utafikiri wanaofunikia magari yazipigwe jua na mvua
 
Nikivaa gauni langu refu mpaka chini na kiatu kirefu kidoogo bila kusahau mtandio juu basi hapo najiona niko bomba sana yaani.
Weka picha nikuamini
 
Back
Top Bottom