Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,500
- 2,508
Hahahaa mkuu,au hili ndo lile vazi la kitaifa???
Na hapo bado hajalipwa chenji yake ya magwangala na bwana pua ndefu! Akilipwa na kumachisha mguuni kwa raba bluu utamtamanije!
Ni hatari nguo ndo zimependeza uso duh! Nimefuta SCREEN ya simu nilijua inanidanganya.