Ukitoa bikira lazima damu itoke!?

Ukitoa bikira lazima damu itoke!?

Iam a married Lady, a few days past, sikuwahi kutembea na Mwanaume yoyote tangu utoto wangu.
Siku ya kwanza baada ya ndoa tulijaribu ku do lakini nilikuwa na maumivu sana mume wangu akaniacha, tuliendelea taratibu baada ya wiki Dudu ikawa inaingia though kuna kuwa na maumivu kidogo mwanzoni. lakini sikuona Damu ikitoka mpaka sasa. Nimeshawahi kuskia utamu sana Once, siku zingine naskia kawaida tu. Nifanyeje kuupata huo utamu tena? Mme wangu anjitahidi kuniandaa mpaka anaingiza Dudu kwa urahisi na yeye ana ridhika siku zote.. Ushauri Tafadhali:A S-baby::A S-baby:
Well inategemea na mwili wa mwanamke uyo
Kuna wengine wapo very wetty wapo very dry
E.G angalia viganja vyako afu kama daima mikono yako ni mikavu sana bas wewe in nature una dry skin!! Meaning ata damu yako ya bikira ndogo sana
Ata ka ilitoka ni kwa asilimia ndogo
Kwenye kusikia utamu usihofu !! Bado maungo yako hayaja adopt vizuri ududu! Yakizoea yatasikia utamu fluently since mmeo anakuandaa vizurii
 
Wadau wa hapa kuna jambo linanichanganya mimi na wadau wengine humu na wasiyo humu


******/////
JE UKIMTOA MTOTO WA KIME BIKIRA NI LAZIMA DAMU ITOKE ?
 
kwani unafanya mauaji? inaweza kutoka au isitoke, inategemea dada mwenyewe. kila dada ana tofauti kwa hilo..
 
jazia nyama mkuu kupunguza maswali kama 'ya wapi?',wadau wakupe muongozo
 
Damu haiwezi kutoka ikiwa bikra yako imetokana na ndimu.

Kumbuka hata kidole kinaweza kuitoa bikra,kutolala na mwanaume utoto haikufanyi kuwa bikra. Mkumbuke yule dogo wa mtaani kwenu kipindi mnacheza kombolela alikufanya nn na kidole chake cha kati.

Utamu utakuja tu,endelea kutoa tunda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom