Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,145
- 3,358
Kwahyo serekali iajiri wahitimu wote ama. Kwenye suala la ajira za wahitimu wa vyuo ilkua muda tu unasubiriwa ifikie hatua ya kutokuweza kuwaajiri wote hata kama kikwete angeendelea kuwa raisi. Sekta binafsi ipewe nafasi kubwa unaweza kuwa solution ya ajira lakini km sekta binafsi ikiendelea kuyumba hakika ajira tutazisikia tu.Marais woote wastaafu Walijenga Barabara, Madaraja, Mabwawa ya umeme,walijenga viwanja vya ndege lakini sio kwao, walikusanya Kodi, hospital nk.
Nyerere Alijenga reli kununua trein na kujenga viwanja vya ndege.
i. Lakini waliajiri watumishi wa uma.
ii.Walipandisha madaraja na kuongeza mishahara.
iii. Waliheshimu haki za watumishi na haki za binadamu.
iv. Walipeleka maendeleo kila kona pasi na kujali hawajampigia kura ama mbunge ni mpinzani.
MAGUFULI HATUFAI WATANZANIA