Ukitaka tu 'Mswahili' akupende na akuachie 'Umtawale' hata 'Milele' mfanyie mambo haya tu machache

1. Ondoa Wafanyakazi Bandia ( Hewa ) kisha Ajiri sana wale wenye Sifa, Waheshimu, Wasiklize, Wajali na uwe Mtumishi Wao.
2. Acha na Ndege Kumi na Tatu ( 13 ) bali bakia tu na Ndege Tatu ( 3 ) na Pesa zingine wakatie Bima zao za Afya.
3. Achana na Ujenzi wa Bwawa la Kihistoria bali boresha yaliyopo, tutumie Nishati Upepo na Jua ili Pesa isomeshe Watoto bure.
4. Achana na Madaraja Lukuki bali kuwepo tu na Madaraja ya Kimkakati na Pesa iliyopo itumike Kuongezea Mishahara Watu wako.
5. Acha na Ujenzi wa Treni za Umeme bali imarisha zilizopo pamoja na barabara ili Pesa zilizopo ziwasaidie sana Wakulima nchini.
6. Ukusanyaji wa Kodi uendane na hali halisi ya Pato la Mwananchi na Pesa zinazopatikana Tija yake ionekane zaidi Machoni na si katika Karatasi.
7. Pesa zinazopatikana kutoka kwa Wala Rushwa na Wauza Dawa za Kulevya zitumike hasa katika Kuimarisha na Kuboresha Hospitali nchini.

Siyo lazima yote ufanye au uyafanye Wewe kwani hata hii 'USA' tunayoiona leo 'Kihistoria' hadi kuwa hivyo 'ilijipanga' kwa miaka zaidi ya 200 hivi.
Na Magufuli amefanya hayo yote na kupitiliza ndio maana amesema ana uhakika urais atashinda tena kwa kura nyingi
 
Nimesoma hiyo namba tano,kuwa acha kujenga Sgr ila imarisha hizi zilizopo nimefanya conclusion kuwa unafikiri kwa kutumia makalio sio ubongo. Yaani reli aliyoacha mkoloni ya narrow gauge inafaa kw ulimwengu wa leo?

Pesa na fine za wauza madawa ya kulevya zinatosha kuimarisha sekta ya afya?

Asante Mkuu kama kuna 'Tusi' lingine ulilolibakiza Kwangu nakupa nafasi nyingine tena 'unitukane' kwani ninapenda sana tu 'Kutukanwa' hapa JF.
 
Wewe na mh. Hashim Rungwe hampishani. Unasema SGR iachwe na hela hiyo itumike kununua vitumbua na maandazi - maana vitumbua na maandazi ni vitu vinavyoonekana zaidi machoni na kushibisha tumbo! Kwanini kuwekeza kwenye shida kama kujenga bwawa, kufufua reli na kujenga mpya tena ya mwendo kasi! Hizo hela tununulie chakula na kodi ifutwe. Kwani watu wa kijijini kwetu watayapita hayo madaraja nchi nzima! Ni ufujaji hela tu. Sana sana mtanzania wa kawaida hahitaji dawa za hospitali au majengo ya hospitali - kwani waganga wetu wa kienyeji (Sangomas) hawapo? Mbona sehemu zao za kutolea matibabu hazijajengwa sana kama mnavyo jenga nyinyi! Kupoteza hela tu!
Tukifuata njia hii tutaendelea kama Marekani!
Kwa mfano nilipokuwa Belgium (uberigiji) wale wabelgiji ambao utajiri wao unatokana kwa kupora mali nyingi kutoka nchi ya Kongo (mpaka leo) wanawapa watu wao bima ya afya bure kila mtu! Na sisi baada ya kusitisha haya maendeleo uchwara na kusitisha kodi nchi yetu ambayo haijawahi kupora mali za kigeni, itakuwa na uwezo wa kuwapa watu wote bima ya afya!

Kama nia yako kumbe ilikuwa tu ni kutuambia wana JF hapa kuwa umewahi kwenda 'Belgium' basi usingezunguka hivi ungetuambia tu mapema!!!!
 
Mkuu Genta, umenifurahisha, hii ni fasihi...kama literature....
Doom Duum Dush....kisha swali linakuja in your own words, less than 200, describe who is the persona. :D

Everyday is Saturday...............................:cool:
 
1. Ondoa Wafanyakazi Bandia ( Hewa ) kisha Ajiri sana wale wenye Sifa, Waheshimu, Wasiklize, Wajali na uwe Mtumishi Wao.
2. Acha na Ndege Kumi na Tatu ( 13 ) bali bakia tu na Ndege Tatu ( 3 ) na Pesa zingine wakatie Bima zao za Afya.
3. Achana na Ujenzi wa Bwawa la Kihistoria bali boresha yaliyopo, tutumie Nishati Upepo na Jua ili Pesa isomeshe Watoto bure.
4. Achana na Madaraja Lukuki bali kuwepo tu na Madaraja ya Kimkakati na Pesa iliyopo itumike Kuongezea Mishahara Watu wako.
5. Acha na Ujenzi wa Treni za Umeme bali imarisha zilizopo pamoja na barabara ili Pesa zilizopo ziwasaidie sana Wakulima nchini.
6. Ukusanyaji wa Kodi uendane na hali halisi ya Pato la Mwananchi na Pesa zinazopatikana Tija yake ionekane zaidi Machoni na si katika Karatasi.
7. Pesa zinazopatikana kutoka kwa Wala Rushwa na Wauza Dawa za Kulevya zitumike hasa katika Kuimarisha na Kuboresha Hospitali nchini.

Siyo lazima yote ufanye au uyafanye Wewe kwani hata hii 'USA' tunayoiona leo 'Kihistoria' hadi kuwa hivyo 'ilijipanga' kwa miaka zaidi ya 200 hivi.
Mwambie wewe labda ataelewa.
 
Nikuhakikishie tu kwamba. JPM kafanya makubwa, shida yake ni kusema ukweli kila sehemu. Mswahili anahitaji uongo na chengachenga. JPM ni kiongozi mzuri ila sio mwanasiasa.

Aliyoyafanya utayakumbuka akiondoka MAdarakani.
 
1. Ondoa Wafanyakazi Bandia ( Hewa ) kisha Ajiri sana wale wenye Sifa, Waheshimu, Wasiklize, Wajali na uwe Mtumishi Wao.
2. Acha na Ndege Kumi na Tatu ( 13 ) bali bakia tu na Ndege Tatu ( 3 ) na Pesa zingine wakatie Bima zao za Afya.
3. Achana na Ujenzi wa Bwawa la Kihistoria bali boresha yaliyopo, tutumie Nishati Upepo na Jua ili Pesa isomeshe Watoto bure.
4. Achana na Madaraja Lukuki bali kuwepo tu na Madaraja ya Kimkakati na Pesa iliyopo itumike Kuongezea Mishahara Watu wako.
5. Acha na Ujenzi wa Treni za Umeme bali imarisha zilizopo pamoja na barabara ili Pesa zilizopo ziwasaidie sana Wakulima nchini.
6. Ukusanyaji wa Kodi uendane na hali halisi ya Pato la Mwananchi na Pesa zinazopatikana Tija yake ionekane zaidi Machoni na si katika Karatasi.
7. Pesa zinazopatikana kutoka kwa Wala Rushwa na Wauza Dawa za Kulevya zitumike hasa katika Kuimarisha na Kuboresha Hospitali nchini.

Siyo lazima yote ufanye au uyafanye Wewe kwani hata hii 'USA' tunayoiona leo 'Kihistoria' hadi kuwa hivyo 'ilijipanga' kwa miaka zaidi ya 200 hivi.
Naona bangi inakuendesha,shetani ananguvu kuliko kawaida kwaiyo umeshasahau kuwa Sera yenu ni Uhuru wa kubanduana.
 
Mkuu ,hongera kwa kuusema Ukweli ambao ndio hali halisi kibinadamu.Tatizo lipo kwa ambae ume mshauri ,ni mgumu kweli kweli kuukubali Ukweli hata kama unamuumiza yeye mwenyewe.Ni kama hafahamu ukubwa wa Mamlaka yake ,wakati mwingine tumeshuhudia akiua Mende kwa Nyundo kisa eti afikishe Ujumbe kwa wanao mpinga.
Gentamycine, upo sawia, ila katika dunia ya leo hivyo vitu ni lazima uvifanye, hata hiyo USA kuna Babu zao waliumia kufikia hapo walipo, tatizo la sisi waafrika tunataka matokeo ya hivi sasa, kumbe matunda ya leo yataonekana kwa wajukuu wetu, halafu binaadamu siku zote hawana shukrani, huko nyuma haya yanayofanyika leo yalikuwa yakiimbwa sana na hao hao ambao leo wamegeuka. Gentamycine kumbuka Libya ilikuwa nchi ya asali na maziwa lakini waafrika hao hao walimgeuka. Shida kubwa kwetu waafrika ni kudhani kuwa matatizo (umaskini) wetu utamalizwa na Serikali iliopo madarakani, hilo tunajidanganya, hata wangekuja Marekani kututawala haiwezi kuwa hivyo tunavyodhani. Kwa hiyo kwa nchi zetu kiongozi wa kuleta maendeleo hawamtaki wanataka tuwe tuomba hata kile chenye uwezo nacho. Na mataifa ya Magharibi wanataka kutuaminisha demokrasia ili tusiendelee, kwenye demokrasia hakuna maendeleo, nitajieni yenye full demokrasia yenye maendeleo. Hebu angalia nchi kama China au Urusi, hizo nchi za Magharibi zilishaendelea ndio zina demokrasia ya kiasi na sio fully.
 
Siyo lazima yote ufanye au uyafanye Wewe kwani hata hii 'USA' tunayoiona leo 'Kihistoria' hadi kuwa hivyo 'ilijipanga' kwa miaka zaidi ya 200 hivi.
 
Mkuu hata Mimi nimeshangazwa sana na hili la madawa ya kulevya,

Yaani tukae tuwasubiri jamaa wauze madawa tuwakamate tuwapige faini ndio tuboreshe hospitali??

Wakati Mwenyezi Mungu anatupa wengine si tu 'Akili' bali 'Akili Kubwa' Mwenzetu Wewe ulikuwa 'Msalani' unajitawaza 'Uharo' wako 'uliotukuka' au?
 
Siyo lazima yote ufanye au uyafanye Wewe kwani hata hii 'USA' tunayoiona leo 'Kihistoria' hadi kuwa hivyo 'ilijipanga' kwa miaka zaidi ya 200 hivi.
Wewe ndio unasema hivyo, lakini nijuavyo mimi Marekani ilichukua miaka kama 50 ya kujipanga kimaendeleo, ambapo sisi watanzania kama tumempata kiongozi mwenye kuweza kutenda kwa nini tusimpe ushirikiano kwa manufaa ya vizazi vyetu vya baadae?
 
Renewable energy (nishati ya jua na upepo) gharama yake utakimbia nchi hii kuweka miundombinu yake. Hivi Lissu anawaza kwamba serikali ya Magufuli hawajafanya cost benefit analysis hadi kuamua kujenga Stigler's?

Ulaya wanaimba renewable energy baada ya kutengeneza hela za ajabu kwenye nishati ya petroli na non-renewable zinginezo cheap. Za kuambiwa changanya na zako.

Yapo mengi ya maana kwenye hoja za Lissu ila asitudanganye kwenye nishati au kodi.
 
Wewe ndio unasema hivyo, lakini nijuavyo mimi Marekani ilichukua miaka kama 50 ya kujipanga kimaendeleo, ambapo sisi watanzania kama tumempata kiongozi mwenye kuweza kutenda kwa nini tusimpe ushirikiano kwa manufaa ya vizazi vyetu vya baadae?
Whaaat??
Upo ulimwengu gani ndugu yangu???
 
Naona bangi inakuendesha,shetani ananguvu kuliko kawaida kwaiyo umeshasahau kuwa Sera yenu ni Uhuru wa kubanduana.

Wanaume kama Wewe ambao huwa 'mnanyegwanyengwa' kwa 'Itikadi' zile za Pemba, Lamu, Greece, Italia na Mombasa wala huwa hamnisumbui.
 
Back
Top Bottom