Ukitaka tu 'Mswahili' akupende na akuachie 'Umtawale' hata 'Milele' mfanyie mambo haya tu machache

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,255
2,000
1. Ondoa Wafanyakazi Bandia ( Hewa ) kisha Ajiri sana wale wenye Sifa, Waheshimu, Wasiklize, Wajali na uwe Mtumishi Wao.
2. Acha na Ndege Kumi na Tatu ( 13 ) bali bakia tu na Ndege Tatu ( 3 ) na Pesa zingine wakatie Bima zao za Afya.
3. Achana na Ujenzi wa Bwawa la Kihistoria bali boresha yaliyopo, tutumie Nishati Upepo na Jua ili Pesa isomeshe Watoto bure.
4. Achana na Madaraja Lukuki bali kuwepo tu na Madaraja ya Kimkakati na Pesa iliyopo itumike Kuongezea Mishahara Watu wako.
5. Acha na Ujenzi wa Treni za Umeme bali imarisha zilizopo pamoja na barabara ili Pesa zilizopo ziwasaidie sana Wakulima nchini.
6. Ukusanyaji wa Kodi uendane na hali halisi ya Pato la Mwananchi na Pesa zinazopatikana Tija yake ionekane zaidi Machoni na si katika Karatasi.
7. Pesa zinazopatikana kutoka kwa Wala Rushwa na Wauza Dawa za Kulevya zitumike hasa katika Kuimarisha na Kuboresha Hospitali nchini.

Siyo lazima yote ufanye au uyafanye Wewe kwani hata hii 'USA' tunayoiona leo 'Kihistoria' hadi kuwa hivyo 'ilijipanga' kwa miaka zaidi ya 200 hivi.
 
CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Aug 31, 2020
674
1,000
Marais woote wastaafu Walijenga Barabara, Madaraja, Mabwawa ya umeme,walijenga viwanja vya ndege lakini sio kwao, walikusanya Kodi, hospital nk.

Nyerere Alijenga reli kununua trein na kujenga viwanja vya ndege.

i. Lakini waliajiri watumishi wa uma.
ii.Walipandisha madaraja na kuongeza mishahara.
iii. Waliheshimu haki za watumishi na haki za binadamu.
iv. Walipeleka maendeleo kila kona pasi na kujali hawajampigia kura ama mbunge ni mpinzani.

MAGUFULI HATUFAI WATANZANIA
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
11,143

Huwa sijuti kuwa rafiki yako.
 
Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,391
2,000
Mkuu ,hongera kwa kuusema Ukweli ambao ndio hali halisi kibinadamu.Tatizo lipo kwa ambae ume mshauri ,ni mgumu kweli kweli kuukubali Ukweli hata kama unamuumiza yeye mwenyewe.Ni kama hafahamu ukubwa wa Mamlaka yake ,wakati mwingine tumeshuhudia akiua Mende kwa Nyundo kisa eti afikishe Ujumbe kwa wanao mpinga.
 
Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
2,660
2,000
Marais woote wastaafu Walijenga Barabara, Madaraja, Mabwawa ya umeme,walijenga viwanja vya ndege lakini sio kwao, walikusanya Kodi, hospital nk.

Nyerere Alijenga reli kununua trein na kujenga viwanja vya ndege.

i. Lakini waliajiri watumishi wa uma.
ii.Walipandisha madaraja na kuongeza mishahara.
iii. Waliheshimu haki za watumishi na haki za binadamu.
iv. Walipeleka maendeleo kila kona pasi na kujali hawajampigia kura ama mbunge ni mpinzani.

MAGUFULI HATUFAI WATANZANIA
You nailed it......
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
34,392
2,000
1. Ondoa Wafanyakazi Bandia ( Hewa ) kisha Ajiri sana wale wenye Sifa, Waheshimu, Wasiklize, Wajali na uwe Mtumishi Wao.
2. Acha na Ndege Kumi na Tatu ( 13 ) bali bakia tu na Ndege Tatu ( 3 ) na Pesa zingine wakatie Bima zao za Afya.
3. Achana na Ujenzi wa Bwawa la Kihistoria bali boresha yaliyopo, tutumie Nishati Upepo na Jua ili Pesa isomeshe Watoto bure.
4. Achana na Madaraja Lukuki bali kuwepo tu na Madaraja ya Kimkakati na Pesa iliyopo itumike Kuongezea Mishahara Watu wako.
5. Acha na Ujenzi wa Treni za Umeme bali imarisha zilizopo pamoja na barabara ili Pesa zilizopo ziwasaidie sana Wakulima nchini.
6. Ukusanyaji wa Kodi uendane na hali halisi ya Pato la Mwananchi na Pesa zinazopatikana Tija yake ionekane zaidi Machoni na si katika Karatasi.
7. Pesa zinazopatikana kutoka kwa Wala Rushwa na Wauza Dawa za Kulevya zitumike hasa katika Kuimarisha na Kuboresha Hospitali nchini.

Siyo lazima yote ufanye au uyafanye Wewe kwani hata hii 'USA' tunayoiona leo 'Kihistoria' hadi kuwa hivyo 'ilijipanga' kwa miaka zaidi ya 200 hivi.

Mkuu kwa post kama hii inaonekana uko huko mbogamboga kwa kuogopa laana ya wazazi wako tu, lakini huko mboga mboga akili hizi hazipo. Umesema kweli tupu, kitu ambacho ni nadra kwa jani lolote la mgomba kuwa na pointi hizi. I wish ungekuwa kwenye jopo la washauri la jiwe, asingejikuta saa hii anaongea kisukuma na kutishia wapiga kura.
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
5,087
2,000
1. Ondoa Wafanyakazi Bandia ( Hewa ) kisha Ajiri sana wale wenye Sifa, Waheshimu, Wasiklize, Wajali na uwe Mtumishi Wao.
2. Acha na Ndege Kumi na Tatu ( 13 ) bali bakia tu na Ndege Tatu ( 3 ) na Pesa zingine wakatie Bima zao za Afya.
3. Achana na Ujenzi wa Bwawa la Kihistoria bali boresha yaliyopo, tutumie Nishati Upepo na Jua ili Pesa isomeshe Watoto bure.
4. Achana na Madaraja Lukuki bali kuwepo tu na Madaraja ya Kimkakati na Pesa iliyopo itumike Kuongezea Mishahara Watu wako.
5. Acha na Ujenzi wa Treni za Umeme bali imarisha zilizopo pamoja na barabara ili Pesa zilizopo ziwasaidie sana Wakulima nchini.
6. Ukusanyaji wa Kodi uendane na hali halisi ya Pato la Mwananchi na Pesa zinazopatikana Tija yake ionekane zaidi Machoni na si katika Karatasi.
7. Pesa zinazopatikana kutoka kwa Wala Rushwa na Wauza Dawa za Kulevya zitumike hasa katika Kuimarisha na Kuboresha Hospitali nchini.

Siyo lazima yote ufanye au uyafanye Wewe kwani hata hii 'USA' tunayoiona leo 'Kihistoria' hadi kuwa hivyo 'ilijipanga' kwa miaka zaidi ya 200 hivi.
Ukiona makada maarufu wa Chama cha Mapinduzi waliokuwa mstari wa mbele kumjenga jiwe na kumpigia kampeni humu mtandaoni kama GENTAMYCINE, Lord denning na @Britanica wamemgeuka Jiwe na Sera zake jua tu Kuna jambo kubwa na la kihistoria linaenda kutokea mwaka huu!!

Asante Genta.
#LissuraisiTanzania2020
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
4,307
2,000
1. Ondoa Wafanyakazi Bandia ( Hewa ) kisha Ajiri sana wale wenye Sifa, Waheshimu, Wasiklize, Wajali na uwe Mtumishi Wao.
2. Acha na Ndege Kumi na Tatu ( 13 ) bali bakia tu na Ndege Tatu ( 3 ) na Pesa zingine wakatie Bima zao za Afya.
3. Achana na Ujenzi wa Bwawa la Kihistoria bali boresha yaliyopo, tutumie Nishati Upepo na Jua ili Pesa isomeshe Watoto bure.
4. Achana na Madaraja Lukuki bali kuwepo tu na Madaraja ya Kimkakati na Pesa iliyopo itumike Kuongezea Mishahara Watu wako.
5. Acha na Ujenzi wa Treni za Umeme bali imarisha zilizopo pamoja na barabara ili Pesa zilizopo ziwasaidie sana Wakulima nchini.
6. Ukusanyaji wa Kodi uendane na hali halisi ya Pato la Mwananchi na Pesa zinazopatikana Tija yake ionekane zaidi Machoni na si katika Karatasi.
7. Pesa zinazopatikana kutoka kwa Wala Rushwa na Wauza Dawa za Kulevya zitumike hasa katika Kuimarisha na Kuboresha Hospitali nchini.

Siyo lazima yote ufanye au uyafanye Wewe kwani hata hii 'USA' tunayoiona leo 'Kihistoria' hadi kuwa hivyo 'ilijipanga' kwa miaka zaidi ya 200 hivi.
Nani anataka kupendwa na waswahili .Genta
 
Koffi Yardley

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
498
500

MSWAHILI? Maji marefu hayo. Mswahili ni "conservative" per se. Ni yule mwenye mentality ya kukataa kutumia the same toilet na wanawe wake wa kike na kwa hiyo aendelee kunya porini ndo stori ya mjini. Kumtawala mbona hakuhitaji yote hayo?
However, the thread is great. Big up bro!
 
Kitwa-Mulomoni

JF-Expert Member
Oct 25, 2016
1,440
2,000
1. Ondoa Wafanyakazi Bandia ( Hewa ) kisha Ajiri sana wale wenye Sifa, Waheshimu, Wasiklize, Wajali na uwe Mtumishi Wao.
2. Acha na Ndege Kumi na Tatu ( 13 ) bali bakia tu na Ndege Tatu ( 3 ) na Pesa zingine wakatie Bima zao za Afya.
3. Achana na Ujenzi wa Bwawa la Kihistoria bali boresha yaliyopo, tutumie Nishati Upepo na Jua ili Pesa isomeshe Watoto bure.
4. Achana na Madaraja Lukuki bali kuwepo tu na Madaraja ya Kimkakati na Pesa iliyopo itumike Kuongezea Mishahara Watu wako.
5. Acha na Ujenzi wa Treni za Umeme bali imarisha zilizopo pamoja na barabara ili Pesa zilizopo ziwasaidie sana Wakulima nchini.
6. Ukusanyaji wa Kodi uendane na hali halisi ya Pato la Mwananchi na Pesa zinazopatikana Tija yake ionekane zaidi Machoni na si katika Karatasi.
7. Pesa zinazopatikana kutoka kwa Wala Rushwa na Wauza Dawa za Kulevya zitumike hasa katika Kuimarisha na Kuboresha Hospitali nchini.

Siyo lazima yote ufanye au uyafanye Wewe kwani hata hii 'USA' tunayoiona leo 'Kihistoria' hadi kuwa hivyo 'ilijipanga' kwa miaka zaidi ya 200 hivi.
Wewe na mh. Hashim Rungwe hampishani. Unasema SGR iachwe na hela hiyo itumike kununua vitumbua na maandazi - maana vitumbua na maandazi ni vitu vinavyoonekana zaidi machoni na kushibisha tumbo! Kwanini kuwekeza kwenye shida kama kujenga bwawa, kufufua reli na kujenga mpya tena ya mwendo kasi! Hizo hela tununulie chakula na kodi ifutwe. Kwani watu wa kijijini kwetu watayapita hayo madaraja nchi nzima! Ni ufujaji hela tu. Sana sana mtanzania wa kawaida hahitaji dawa za hospitali au majengo ya hospitali - kwani waganga wetu wa kienyeji (Sangomas) hawapo? Mbona sehemu zao za kutolea matibabu hazijajengwa sana kama mnavyo jenga nyinyi! Kupoteza hela tu!
Tukifuata njia hii tutaendelea kama Marekani!
Kwa mfano nilipokuwa Belgium (uberigiji) wale wabelgiji ambao utajiri wao unatokana kwa kupora mali nyingi kutoka nchi ya Kongo (mpaka leo) wanawapa watu wao bima ya afya bure kila mtu! Na sisi baada ya kusitisha haya maendeleo uchwara na kusitisha kodi nchi yetu ambayo haijawahi kupora mali za kigeni, itakuwa na uwezo wa kuwapa watu wote bima ya afya!
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
35,929
2,000
1. Ondoa Wafanyakazi Bandia ( Hewa ) kisha Ajiri sana wale wenye Sifa, Waheshimu, Wasiklize, Wajali na uwe Mtumishi Wao.
2. Acha na Ndege Kumi na Tatu ( 13 ) bali bakia tu na Ndege Tatu ( 3 ) na Pesa zingine wakatie Bima zao za Afya.
3. Achana na Ujenzi wa Bwawa la Kihistoria bali boresha yaliyopo, tutumie Nishati Upepo na Jua ili Pesa isomeshe Watoto bure.
4. Achana na Madaraja Lukuki bali kuwepo tu na Madaraja ya Kimkakati na Pesa iliyopo itumike Kuongezea Mishahara Watu wako.
5. Acha na Ujenzi wa Treni za Umeme bali imarisha zilizopo pamoja na barabara ili Pesa zilizopo ziwasaidie sana Wakulima nchini.
6. Ukusanyaji wa Kodi uendane na hali halisi ya Pato la Mwananchi na Pesa zinazopatikana Tija yake ionekane zaidi Machoni na si katika Karatasi.
7. Pesa zinazopatikana kutoka kwa Wala Rushwa na Wauza Dawa za Kulevya zitumike hasa katika Kuimarisha na Kuboresha Hospitali nchini.

Siyo lazima yote ufanye au uyafanye Wewe kwani hata hii 'USA' tunayoiona leo 'Kihistoria' hadi kuwa hivyo 'ilijipanga' kwa miaka zaidi ya 200 hivi.
Ongesa
8. Acha kuteka watu na kutesa.
9. Acha ukabila na ukanda
10.Tafuta masoko kwa wakulima
11. Ruhusu mshahara wako ukatwe kodi na upunguzwe
12. Toa mikopo kwa wanafunzi wote
 
Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
5,996
2,000
Nimesoma hiyo namba tano,kuwa acha kujenga Sgr ila imarisha hizi zilizopo nimefanya conclusion kuwa unafikiri kwa kutumia makalio sio ubongo. Yaani reli aliyoacha mkoloni ya narrow gauge inafaa kw ulimwengu wa leo?

Pesa na fine za wauza madawa ya kulevya zinatosha kuimarisha sekta ya afya?
Mpaka sasa reli ya mkoloni haijatumika kwa ufanisi wa asilimia mia, sasa hiyo standard gauge si itabaki white elephant?
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
21,990
2,000
Nimesoma hiyo namba tano,kuwa acha kujenga Sgr ila imarisha hizi zilizopo nimefanya conclusion kuwa unafikiri kwa kutumia makalio sio ubongo. Yaani reli aliyoacha mkoloni ya narrow gauge inafaa kw ulimwengu wa leo?

Pesa na fine za wauza madawa ya kulevya zinatosha kuimarisha sekta ya afya?
Mkuu hata Mimi nimeshangazwa sana na hili la madawa ya kulevya,

Yaani tukae tuwasubiri jamaa wauze madawa tuwakamate tuwapige faini ndio tuboreshe hospitali??
 
Lumoge

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
275
250
1. Ondoa Wafanyakazi Bandia ( Hewa ) kisha Ajiri sana wale wenye Sifa, Waheshimu, Wasiklize, Wajali na uwe Mtumishi Wao.
2. Acha na Ndege Kumi na Tatu ( 13 ) bali bakia tu na Ndege Tatu ( 3 ) na Pesa zingine wakatie Bima zao za Afya.
3. Achana na Ujenzi wa Bwawa la Kihistoria bali boresha yaliyopo, tutumie Nishati Upepo na Jua ili Pesa isomeshe Watoto bure.
4. Achana na Madaraja Lukuki bali kuwepo tu na Madaraja ya Kimkakati na Pesa iliyopo itumike Kuongezea Mishahara Watu wako.
5. Acha na Ujenzi wa Treni za Umeme bali imarisha zilizopo pamoja na barabara ili Pesa zilizopo ziwasaidie sana Wakulima nchini.
6. Ukusanyaji wa Kodi uendane na hali halisi ya Pato la Mwananchi na Pesa zinazopatikana Tija yake ionekane zaidi Machoni na si katika Karatasi.
7. Pesa zinazopatikana kutoka kwa Wala Rushwa na Wauza Dawa za Kulevya zitumike hasa katika Kuimarisha na Kuboresha Hospitali nchini.

Siyo lazima yote ufanye au uyafanye Wewe kwani hata hii 'USA' tunayoiona leo 'Kihistoria' hadi kuwa hivyo 'ilijipanga' kwa miaka zaidi ya 200 hivi.
No 5 imenipendezaa maradufu....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom