ukitaka raha.......................... .............................. .............

ukitaka raha.......................... .............................. .............

nelly nely

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
665
Reaction score
229
Ukishabikia man u,utapata raha.
Ukishabikia chelsea,utabaki njiapanda.
Ukishabikia totenham,utaambulia maumivu.
Ukishabikia arsenal.......................................
 
m###*&$@***$@**##58899...(sonyo) nilijua point ya maana kumbe shudu tupu..
 
Hahaha! Yaani kuna watu wao hata starehe ni presha! Haya endeleeni kutoleana povu,mie m-chelsea na Chelsea is my home!
 
ukitaka raha...
mmmmhh...inakuja af inakata...nways ngoja nijaribu...
ukitaka raha...sharti UINAME!!!
 
Kwa afya njema na furaha moyo Man U mpango mzima!hahahahaha!
 
Back
Top Bottom