Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare


kwani akichepuka wadhani atakuja kukuambia nimechepuka take care
 
Kwa hiyo hao wapare ndo wanaokuloga? You can't be serious kabisa, tatizo nyie mna ushirikina akilini mwenu, ukiamka kichwa kinauma lazma umfikirie mtu flani kakuloga. Kwa Hilo watz tumekuwa maskini kabisa.

Kuna binadamu gan muda wote mlikua mnasalimiana na hata sherehe una mkaribisha then baada ya watoto kufaulu anakununia hata salam haitiki,vitu vingine hata haviitaji kwenda shule kuvijua
Kingine,wapare wenyewe kwa wenyewe hawapatani nenda Wilaya ya Mwanga mpare wa Ugweno na Usangi hawapatani wanadharauliana yaan wapare wana element nyingine ya sifa na majivuno
 

Naunga mkono kabisa mkuu,kuna rafiki angu kaoa mpare aiseh huyu shemeji angu kagombana na kila mwanamke mtaani yaani afu bila sababu za msingi zaidi ya chuki,fitna na wivu.
 
Last edited by a moderator:
hapa nina mnyakyusa najuta ndg yenu! sijui nifanyaje?yeye hata ktk offside anafunga tu magoli!
 
Huyu mwanzisha mada akajipange upya!! Of All wanawake wote wa kipare ninaowajua. Kwanza wivu wa kijinga na roho ya kwa nini, pili kuamrisha waume zao, kuwapoteza kabisa waume zao wasifirukute wala kukumbuka kwao, kumvumilia mwanaume ktk shida na raha lakini Once hela ikipatikana utaziona tru colors!, wepesi kuvua ile nguo ya ndani, ubahili.. The list is infinity........
 
Wapare unawafahamu wewe!?shauri yako me ninawafahamu sina hamu?!
 
Wapale hawafai wanapenda sana kumtawara mume, wanezidi wivu wa kijinga, wanapenda sana ushirikina (limbwata), wakorofi sana. wanaume wako safi wadada mmmmmmmh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…