Ukitaka kuwa muongo tunza kumbukumbu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
26.10.2015;- Wasimamizi wa Uchaguzi Mkoani Mbeya na Dodoma Waandamana Wakilaani Malipo Duni ya Usimamizi!

25.4.2016;- CAG Agundua "Matumizi Hewa" ya 827m ktk ofisi ya NEC,huku Vifaa Vingi Vikipelea Wakati wa Uchaguzi!

7.6.2016:- NEC Yarudisha billion 12 kwa Raisi Baada ya Kubana Matumizi Vizuri Wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015!
 
26.10.2015;- Wasimamizi wa Uchaguzi Mkoani Mbeya na Dodoma Waandamana Wakilaani Malipo Duni ya Usimamizi!

25.4.2016;- CAG Agundua "Matumizi Hewa" ya 827m ktk ofisi ya NEC,huku Vifaa Vingi Vikipelea Wakati wa Uchaguzi!

7.6.2016:- NEC Yarudisha 12 bllioni kwa Raisi Baada ya Kubana Matumizi Vizuri Wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015!

Nimeamini ukizeeka kwa Afrika unakuwa kama mtoto mdogo. Jaji Lubuva alikuwa jaji makini sana, ukisoma hukumu zake ni highly reasoned judgements within the confines of law. Hili la juzi nimeliona kuwa kuzeeka kwa waafrika ni tatizo. Wazungu as one gets older thinking capacity becomes super and hence many discoveries are done by quite aged scientists! SIYO KWETU! Watu wanaandamana kukosa fedha zao, anarudisha ili asifiwe!
 
Usirushe mawe angali unaishi kwenye nyumba ya kioo.

1. "CCM wamempatia Lowassa fomu ya kugombea fomu ya urais ni hatari" - Tundu Lissu

2. "Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowassa akikamua mitaani" - Freeman Mbowe

3. "Ninao ushahidi wa kutosha kuhusiana na wizi na ufisadi wa Lowassa na Rostam" - John Mnyika

4. "Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumzomea mtu fisadi kama Lowassa" - Godbless Lema

5. "Anayemuunga mkono Lowassa apimwe akili haraka" - Mch.Msigwa.
 
Baada ya kuwaaminisha watanzania lowassa ni fisadi na sasa watanzania wamejua ukweli ccm wanaogopa wapinzani wasifanye mikutani aibu
 
Usirushe mawe angali unaishi kwenye nyumba ya kioo.

1. "CCM wamempatia Lowassa fomu ya kugombea fomu ya urais ni hatari" - Tundu Lissu

2. "Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowassa akikamua mitaani" - Freeman Mbowe

3. "Ninao ushahidi wa kutosha kuhusiana na wizi na ufisadi wa Lowassa na Rostam" - John Mnyika

4. "Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumzomea mtu fisadi kama Lowassa" - Godbless Lema

5. "Anayemuunga mkono Lowassa apimwe akili haraka" - Mch.Msigwa.
hawa wamekujaje katika hii thread, bila kumsema lowasa hamlali? duu, mumemtukana weeee, kimya, naona mnataka afe ndo vichwa vyenu vitatulia
 
26.10.2015;- Wasimamizi wa Uchaguzi Mkoani Mbeya na Dodoma Waandamana Wakilaani Malipo Duni ya Usimamizi!

25.4.2016;- CAG Agundua "Matumizi Hewa" ya 827m ktk ofisi ya NEC,huku Vifaa Vingi Vikipelea Wakati wa Uchaguzi!

7.6.2016:- NEC Yarudisha 12 bllioni kwa Raisi Baada ya Kubana Matumizi Vizuri Wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015!
Swali ni je hizo Billioni 12 zinaenda mfukoni kwa Dr MAGUFULI au????Maana naona umeumia kweli kurudi kwa hizi Billion 12 naamini ulikua unategemea kusikia mabaya juu ya hizi billion12 sijui napo ungekuja na BANDIKO LIPI HAPA...Na je una uhakika ya kuwa hao wasimamizi wa uchaguzi walioandamana hawakusikilizwa madai yao????WAKATI mwingne mkikosa vitu vya kupost jaribu kua observer tu maana hautapungukiwa kitu,,,,,,
 
Labda Hoja yako ingekua kama kuna umuhimu wa lubuva kurudisha hizo hela, lakini hayo maandamano ya mwaka 2015 tena mwezi wa 10, unajuaje kua bado hawajalipwa? Unadhan wangeendelea kukaa kimya?
 
Nimeamini ukizeeka kwa Afrika unakuwa kama mtoto mdogo. Jaji Lubuva alikuwa jaji makini sana, ukisoma hukumu zake ni highly reasoned judgements within the confines of law. Hili la juzi nimeliona kuwa kuzeeka kwa waafrika ni tatizo. Wazungu as one gets older thinking capacity becomes super and hence many discoveries are done by quite aged scientists! SIYO KWETU! Watu wanaandamana kukosa fedha zao, anarudisha ili asifiwe!
Hichoo kizee ni shiiiiiiiida sasa kinajipendekeza kwa Magufuli kama alivyofanya Naibu spika kurejesha pesa za Bunge pasipo kujadiliana na wabunge wenyewe, Hii tabia ya kujipendekeza isipokwisha tutashuhudia Vioja kila siku.
 
Bado unaendelea kujitoa fahamu? Nani aliyezunguka nchi nzima kwa miaka nane akimuuita Lowassa fisadi?
Ungeshirikisha ubongo ungenielewa mnaweweseka maana mliaminisha umma wa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi kumbe tatizo lilikua ni uwaziri mkuu sasa watanzania wameshtukia mnaweweseka mnazuia wapinzani wasifanye mikutano.. usitutoe kwenye mada
 
Nimeamini ukizeeka kwa Afrika unakuwa kama mtoto mdogo. Jaji Lubuva alikuwa jaji makini sana, ukisoma hukumu zake ni highly reasoned judgements within the confines of law. Hili la juzi nimeliona kuwa kuzeeka kwa waafrika ni tatizo. Wazungu as one gets older thinking capacity becomes super and hence many discoveries are done by quite aged scientists! SIYO KWETU! Watu wanaandamana kukosa fedha zao, anarudisha ili asifiwe!
heshma yake inapotea kwasababu ya sifa za kijinga
 
Labda Hoja yako ingekua kama kuna umuhimu wa lubuva kurudisha hizo hela, lakini hayo maandamano ya mwaka 2015 tena mwezi wa 10, unajuaje kua bado hawajalipwa? Unadhan wangeendelea kukaa kimya?
Wakati wakuwalipa hamkuchukua wandishi wa habari? Maana sikuhizi tunaenda nawandishi wa habari mpaka kwenye makanisa
 
26.10.2015;- Wasimamizi wa Uchaguzi Mkoani Mbeya na Dodoma Waandamana Wakilaani Malipo Duni ya Usimamizi!

25.4.2016;- CAG Agundua "Matumizi Hewa" ya 827m ktk ofisi ya NEC,huku Vifaa Vingi Vikipelea Wakati wa Uchaguzi!

7.6.2016:- NEC Yarudisha 12 bllioni kwa Raisi Baada ya Kubana Matumizi Vizuri Wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015!
duh hii kali, only in tz
 
Nimeamini ukizeeka kwa Afrika unakuwa kama mtoto mdogo. Jaji Lubuva alikuwa jaji makini sana, ukisoma hukumu zake ni highly reasoned judgements within the confines of law. Hili la juzi nimeliona kuwa kuzeeka kwa waafrika ni tatizo. Wazungu as one gets older thinking capacity becomes super and hence many discoveries are done by quite aged scientists! SIYO KWETU! Watu wanaandamana kukosa fedha zao, anarudisha ili asifiwe!
Kumfanya mzee kuwa sawa na mtoto mdogo ni kumpa kiki asiyostahili. Labda mtoto wa mwezi mmoja hadi mitatu. Nasema hivyo kwa kuwa ubongo wa mzee.unazidi kudidimia (becomes senile) wakati ule wa mtoto unazidi kukua. Huyu ameshapoteza kumbukumbu. Na hii tabia ya kurudisha fedha kwa rais sijui ni kwa kanuni au utaratibu upi kwa kuwa kwanuelewa wangu fedha iliyobaki inatakiwa irejeshwe Hazina.
 
hilo la kuandamana sio mbeya tu, hata hapo dar vile vile wengine walifikia kuficha masanduku ya kura mpaka wapewe chao
Baada ya kuandamana si walilipwa? Inaelekea pia hamjui hata jinsi tume inavyofanya kazi. Pesa zote zilipelekwa Halmashauri na zilizochelewesha ni hizo Halmashauri na si Tume
 
Back
Top Bottom