kidabibiaga
JF-Expert Member
- Apr 4, 2016
- 619
- 161
Kama alivyofanya lowasa alipoenda kwa walutheri si ndio?Wakati wakuwalipa hamkuchukua wandishi wa habari? Maana sikuhizi tunaenda nawandishi wa habari mpaka kwenye makanisa
Kama alivyofanya lowasa alipoenda kwa walutheri si ndio?Wakati wakuwalipa hamkuchukua wandishi wa habari? Maana sikuhizi tunaenda nawandishi wa habari mpaka kwenye makanisa
Ungeshirikisha ubongo ungenielewa mnaweweseka maana mliaminisha umma wa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi kumbe tatizo lilikua ni uwaziri mkuu sasa watanzania wameshtukia mnaweweseka mnazuia wapinzani wasifanye mikutano.. usitutoe kwenye mada
Watanzania unafiki uko damuni!!Nimeamini ukizeeka kwa Afrika unakuwa kama mtoto mdogo. Jaji Lubuva alikuwa jaji makini sana, ukisoma hukumu zake ni highly reasoned judgements within the confines of law. Hili la juzi nimeliona kuwa kuzeeka kwa waafrika ni tatizo. Wazungu as one gets older thinking capacity becomes super and hence many discoveries are done by quite aged scientists! SIYO KWETU! Watu wanaandamana kukosa fedha zao, anarudisha ili asifiwe!
Akili za nyumbu wa chadema ni za kukurupuka ilimradi kukosoa serikali, kushikiwa na viongozi wao na kupingapinga kias kwamba wanakosa ufahamu wa kuelewa mambo, and once you try kuwaeleza utashushiwa matusiBaada ya kuandamana si walilipwa? Inaelekea pia hamjui hata jinsi tume inavyofanya kazi. Pesa zote zilipelekwa Halmashauri na zilizochelewesha ni hizo Halmashauri na si Tume
hawa wamekujaje katika hii thread, bila kumsema lowasa hamlali? duu, mumemtukana weeee, kimya, naona mnataka afe ndo vichwa vyenu vitatulia
Mwisho wa siku hao wote walimsafisha Lowasa na kumuona mtakatifu kama Malaika!!Usirushe mawe angali unaishi kwenye nyumba ya kioo.
1. "CCM wamempatia Lowassa fomu ya kugombea fomu ya urais ni hatari" - Tundu Lissu
2. "Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowassa akikamua mitaani" - Freeman Mbowe
3. "Ninao ushahidi wa kutosha kuhusiana na wizi na ufisadi wa Lowassa na Rostam" - John Mnyika
4. "Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumzomea mtu fisadi kama Lowassa" - Godbless Lema
5. "Anayemuunga mkono Lowassa apimwe akili haraka" - Mch.Msigwa.
Kosa halihakalishi kosa jingine weye..Usirushe mawe angali unaishi kwenye nyumba ya kioo.
1. "CCM wamempatia Lowassa fomu ya kugombea fomu ya urais ni hatari" - Tundu Lissu
2. "Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowassa akikamua mitaani" - Freeman Mbowe
3. "Ninao ushahidi wa kutosha kuhusiana na wizi na ufisadi wa Lowassa na Rostam" - John Mnyika
4. "Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumzomea mtu fisadi kama Lowassa" - Godbless Lema
5. "Anayemuunga mkono Lowassa apimwe akili haraka" - Mch.Msigwa.
Ni UKAWA mkuu!!Bado unaendelea kujitoa fahamu? Nani aliyezunguka nchi nzima kwa miaka nane akimuuita Lowassa fisadi?
akina lowasa walikuwa ni wengi sana kipindi kile, lakini atasemwa lowasa tu hao wengine kwa vile wamebaki kwenu mnawaona hawa wasafiUkiwa shahidi lazima historia yako itaangaliwa ili ijulikane kama kweli wewe ni mtu wa kusema kweli au mhamisha magoli.
dah hizi politics Uzi umehama gafla kisa ushabiki why lakinBado unaendelea kujitoa fahamu? Nani aliyezunguka nchi nzima kwa miaka nane akimuuita Lowassa fisadi?
Tulisema hayo mapema lkn tukaonekana ni wapinzani tuuuuNimeamini ukizeeka kwa Afrika unakuwa kama mtoto mdogo. Jaji Lubuva alikuwa jaji makini sana, ukisoma hukumu zake ni highly reasoned judgements within the confines of law. Hili la juzi nimeliona kuwa kuzeeka kwa waafrika ni tatizo. Wazungu as one gets older thinking capacity becomes super and hence many discoveries are done by quite aged scientists! SIYO KWETU! Watu wanaandamana kukosa fedha zao, anarudisha ili asifiwe!
Mkuu siyo kuzeeka tu bali ni hulka ya viongozi wetu kwani naibu spika amerudisha kiasi cha fedha kwa rais wakati bungeni wabunge wakilalamika kukosa baadhi ya hudumaNimeamini ukizeeka kwa Afrika unakuwa kama mtoto mdogo. Jaji Lubuva alikuwa jaji makini sana, ukisoma hukumu zake ni highly reasoned judgements within the confines of law. Hili la juzi nimeliona kuwa kuzeeka kwa waafrika ni tatizo. Wazungu as one gets older thinking capacity becomes super and hence many discoveries are done by quite aged scientists! SIYO KWETU! Watu wanaandamana kukosa fedha zao, anarudisha ili asifiwe!
Hivi lubuva bado ana tegemea kuendelea kuiongoza nec uchaguzi ujao tena?hilo la kuandamana sio mbeya tu, hata hapo dar vile vile wengine walifikia kuficha masanduku ya kura mpaka wapewe chao
Wanajisumbua tu maana dua lao la kuku kamwe halimpati mwewe,lowasa ndio kwanza anazidi kuimarika na anajiandaa kuisambaratisha vilivyo ccm mwaka 2020hawa wamekujaje katika hii thread, bila kumsema lowasa hamlali? duu, mumemtukana weeee, kimya, naona mnataka afe ndo vichwa vyenu vitatulia
Unajua neno ukawa lilianzishwa mwaka gani wewe?Ni UKAWA mkuu!!
Lowasa kwa sasa ni lulu kwa mamilioni ya watanzania zaidi ya 6million,wewe kama hutaki ki vyakoMwisho wa siku hao wote walimsafisha Lowasa na kumuona mtakatifu kama Malaika!!