Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
!
!
Nje ya mada lakini katika kichwa hicho hicho cha habari.......kuna mshikaji mmoja alikuwa anawadithia story wenzake ya porini kwamba Simba alikuwa namfukuza swala, katika kumfukuza kamfukuzaaaaaaa akamkamata na kumwangusha chini aka!....kabla hajamalizia akapigiwa simu akapokea akaongeaaa na alipomaliza watu wakaitikia enheee alipomwangusha chini ikawaje?..wakimaanisha aendelee na stori. Mchizi nae akaunganishia juu kwa juu, wacha aanze kumt#mb@ hahahahaha watu aaaaah. Kwa hiyo ni kweli kabisa kama unataka kuwa muhongo basi uwe na uwezo mkubwa sana wa kutunza kumbukumbu.