Ukitaka kuwa muongo tunza kumbukumbu

Ukitaka kuwa muongo tunza kumbukumbu

Wazee ndiyo uingiza taifa katika hasara kubwa. Cc lubiuva
 
Usirushe mawe angali unaishi kwenye nyumba ya kioo.

1. "CCM wamempatia Lowassa fomu ya kugombea fomu ya urais ni hatari" - Tundu Lissu

2. "Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowassa akikamua mitaani" - Freeman Mbowe

3. "Ninao ushahidi wa kutosha kuhusiana na wizi na ufisadi wa Lowassa na Rostam" - John Mnyika

4. "Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumzomea mtu fisadi kama Lowassa" - Godbless Lema

5. "Anayemuunga mkono Lowassa apimwe akili haraka" - Mch.Msigwa.
Mkuu hii inahusiana na kurudishwa kwa Bil 12?Inahusiana na mada?Amemrushia nani jiwe?
 
Baada ya kuandamana si walilipwa? Inaelekea pia hamjui hata jinsi tume inavyofanya kazi. Pesa zote zilipelekwa Halmashauri na zilizochelewesha ni hizo Halmashauri na si Tume
Mkuu kama hela zipi why waligoma?Alichoona CAG ni nini?Sio kila kitu lazima tuchangie kwa kutetea na wale waliotumia tochi?Y Kibamba walichelewa kuanza?na uchaguzi ukafanyika siku ingine?
 
Swali ni je hizo Billioni 12 zinaenda mfukoni kwa Dr MAGUFULI au????Maana naona umeumia kweli kurudi kwa hizi Billion 12 naamini ulikua unategemea kusikia mabaya juu ya hizi billion12 sijui napo ungekuja na BANDIKO LIPI HAPA...Na je una uhakika ya kuwa hao wasimamizi wa uchaguzi walioandamana hawakusikilizwa madai yao????WAKATI mwingne mkikosa vitu vya kupost jaribu kua observer tu maana hautapungukiwa kitu,,,,,,
mtazamo

kawadanganye watoto chekechea pale hakuna kilichorudishwa ile ni sanamu tu ya cheque..usanii wa kukonga nyoyo za mashabik chekechea
 
26.10.2015;- Wasimamizi wa Uchaguzi Mkoani Mbeya na Dodoma Waandamana Wakilaani Malipo Duni ya Usimamizi!

25.4.2016;- CAG Agundua "Matumizi Hewa" ya 827m ktk ofisi ya NEC,huku Vifaa Vingi Vikipelea Wakati wa Uchaguzi!

7.6.2016:- NEC Yarudisha billion 12 kwa Raisi Baada ya Kubana Matumizi Vizuri Wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015!
Binafsi siamini kuwa kuna hela yoyote iliyorudishwa. Zile ni mbwembwe za watawala, hakuna hata senti tano pale. Kwa sababu hata kama chenji ingekuwepo kwani anapewa rais?!
 
AJABU la 1002 linapatikana Tanzania tu kujipendekeza pendekeza kwa viongozi
 
Usirushe mawe angali unaishi kwenye nyumba ya kioo.

1. "CCM wamempatia Lowassa fomu ya kugombea fomu ya urais ni hatari" - Tundu Lissu

2. "Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowassa akikamua mitaani" - Freeman Mbowe

3. "Ninao ushahidi wa kutosha kuhusiana na wizi na ufisadi wa Lowassa na Rostam" - John Mnyika

4. "Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumzomea mtu fisadi kama Lowassa" - Godbless Lema

5. "Anayemuunga mkono Lowassa apimwe akili haraka" - Mch.Msigwa.
Naona unajiribu kubalance story, ila tayari ishakuwa too late.
 
Usirushe mawe angali unaishi kwenye nyumba ya kioo.

1. "CCM wamempatia Lowassa fomu ya kugombea fomu ya urais ni hatari" - Tundu Lissu

2. "Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowassa akikamua mitaani" - Freeman Mbowe

3. "Ninao ushahidi wa kutosha kuhusiana na wizi na ufisadi wa Lowassa na Rostam" - John Mnyika

4. "Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumzomea mtu fisadi kama Lowassa" - Godbless Lema

5. "Anayemuunga mkono Lowassa apimwe akili haraka" - Mch.Msigwa.
 
[/QUOTE]
Labda Hoja yako ingekua kama kuna umuhimu wa lubuva kurudisha hizo hela, lakini hayo maandamano ya mwaka 2015 tena mwezi wa 10, unajuaje kua bado hawajalipwa? Unadhan wangeendelea kukaa kimya?

Hawakulipwa ndg yangu nakumbuka walifukuzwa
 
Kumfanya mzee kuwa sawa na mtoto mdogo ni kumpa kiki asiyostahili. Labda mtoto wa mwezi mmoja hadi mitatu. Nasema hivyo kwa kuwa ubongo wa mzee.unazidi kudidimia (becomes senile) wakati ule wa mtoto unazidi kukua. Huyu ameshapoteza kumbukumbu. Na hii tabia ya kurudisha fedha kwa rais sijui ni kwa kanuni au utaratibu upi kwa kuwa kwanuelewa wangu fedha iliyobaki inatakiwa irejeshwe Hazina.
Ndiyo maana nimesema kuwa alikuwa Jaji anayejua kutafsiri sheria kwa usahihi sana. Jaribu kusoma hukumu zake! Utampenda. Sasa hili la kurudisha hela kwa Rais wakati anajua kuwa hela zinarudi Hazina amelitoa wapi? MZEE WANGU AMESHINDWA KUTAFSIRI SHERIA UKUBWANI WAKATI WENZAKE ULAYA NDIO BRAIN ZINACHARGE
 
Swali ni je hizo Billioni 12 zinaenda mfukoni kwa Dr MAGUFULI au????Maana naona umeumia kweli kurudi kwa hizi Billion 12 naamini ulikua unategemea kusikia mabaya juu ya hizi billion12 sijui napo ungekuja na BANDIKO LIPI HAPA...Na je una uhakika ya kuwa hao wasimamizi wa uchaguzi walioandamana hawakusikilizwa madai yao????WAKATI mwingne mkikosa vitu vya kupost jaribu kua observer tu maana hautapungukiwa kitu,,,,,,
ulimi nje kwa uroho. hao nyumbu hawaamini kama mtu anaweza kurudisha hela kubwa kiasi hicho badala ya kula. wao hela ya serikali ni ya kuliwa. wanamuona jaji kama mjinga hajitambui.
 
Taasisi yoyote ile kurudisha pesa serikalini ni WIZI!!
Hii inamaanisha waliover estimate mahitaji yao kwa makusudi (kwa kudanganya mahitaji) kabisaa!!
12 Billion si chini ya majengo 5 ya Gorofa kwa Halmashauri mpya zisizo na ofisi.
 
Back
Top Bottom