Ukitaka kupata mke bora kuwa kwanza mume bora

Ukitaka kupata mke bora kuwa kwanza mume bora

Eti mume bora??,kuna rafiki yangu alikuwa mume bora sana kwa mkewe-mkewe alichepuka na mwimba kwaya mwenzake.
Tataizo ni maadili ya Taifa zima,angalia wanawake wa kiarabu wametulia tuli.
Siungi mkono mwanamke kua msaliti kwenye ndoa yake ila nikuulize mkuu?

Umesema angalia wanawake wa kiarabu sawa ni kweli huenda wametulia nakubari
Ila unaona waume zao wapo kama nyie?
 
Samahan kwa kuchelewa kukujibu, nilikua nashughulikia mahitaji ya wajukuu zangu, Sasa nakusikiliza mwanangu. Hujamboo
umri wa huko kwako hauhusiani na umri wa humu, sisi tunavyofahamu ni kuwa ulijiunga juzi na sisi ni eidha kaka zako,baba zako au babu zako hata kama umeota mvi mpaka kwenye mavuzi yako.
 
😹😹😹 Anataka bikra wakati yeye mwenyewe hana zote. Sasa yeye kashindwa kutunza yake mwenzake ataweza veeepe??
 
umri wa huko kwako hauhusiani na umri wa humu, sisi tunavyofahamu ni kuwa ulijiunga juzi na sisi ni eidha kaka zako,baba zako au babu zako hata kama umeota mvi mpaka kwenye mavuzi yako.
Hapana hapana hapana mi ni mkongwe humu nimejiunga enzi za jambo forum, hata wazazi wako hawajakutana kichakani, ili upatikane wewe, kijana kua na adabu heshimu wakubwa zako kuna member wananijua humu hata huyu kijana m,,,,, anani fahamu vizuri, kuwa na adabu. Umeni sikitisha sana
 
kwa id yako hii mpya hata ukiwa ni maxence melo bado tutakutambua kuwa wewe ni dogo tu. Na tukiona id kongwe tunaiaprishieti hata kama huku nimekuwashia moto wa kejeli.
 
Kumekuwa na kasumba fulani hivi kwa wanaume wengi wakiwa wanatoa vigezo vyao vya aina ya mwanamke wanahitaji kuwa mke, lakini my frendi mwanaume ukitaka kupata mke bora lazima ujitazame wewe je ni mume bora?

Sio wewe unataka mwanamke alishika imani ya dini aende Kanisani au Msikitini, lakini wewe hujawahi kwenda kabisa na hauna huo mpango!

So jitazame kwanza wewe kuwa mume bora ndipo sasa uanze kufikiria kupata mke bora
Unaweza kuwa mume bora na bado mkeo akawa changamoto kwako. Wanawake wanajijuwa wenyewe, si watu wa kuwaamini hata kidogo.
 
Si tulisha kubaliana kua wanawake hata wao wenyewe hua hawajui wanataka nini?
 
Kweli, ukiwa mwanaume bora lazima UTAMPATA mke bora na sio UMTAFUTE mke bora.
Pia mwanamke ukiwa, mwanamke bora, lazima UTAPATA mume bora.
Kwahiyo hapa tunategemeana.
Ila usitegemee eti uwe mwanaume bora, afu uende kanisani KUTAFUTA mke bora umekwisha.
Na mwanamke usiangalie mwanaume anayekujali kipindi anaanzisha mazoea na wewe au anakujali kipindi anaweka ukaribu na wewe, kwasababu anakuwa anataka umpe atenshen.
Na ukianza kuwaza mara hooo ananijali atakuwa ananipenda, umeikwisha. Maana hata jasusi huwa anaigiza ili apate anachotaka, akishapata huwa hana haja ya kuigiza tena.
Kifupi maisha ya kuigiza ndo yanatufelisha.
 
Bila shaka wewe utakua mchaga og wa wasafi tv, naona umetuletea ushauri alokupa ally kamwe kupitia ile interview yenu.
 
Back
Top Bottom