Kabisa ,,mimi nimewala sn walimu kwa style ya kwenda shuleni kufatilia maendeleo ya mtoto wng.
Code yake uwe mtanashati unukie uturi,,,smart,na sio mbahili..
πππππ jamaniiii ko wanaongezeka tyuu.
Sahivi competition hadi kwa industry, ndo maana wengine wameamua kuanzisha role mpya, "SIDE"
ππππππ
Kabisa ,,mimi nimewala sn walimu kwa style ya kwenda shuleni kufatilia maendeleo ya mtoto wng.
Code yake uwe mtanashati unukie uturi,,,smart,na sio mbahili..
ADA YA TUITION AIKWEPEKI MKUU HATA UOE DK
WE OMBA KUTOKA KWA BWANA ANAEFANANA NAE AKIKUPA MZINZI MWENZIO SHUKURU AKIKUPA MFOKOAJI.MWENZIO SHUKURU AKIKUPA MBEYA MNAFIKI MWENZIO FURAHIN KTK KILA JAMBO TENA NASEMA FURAHINI
Wengi wao tamaa ya vitu vidogo vidogo na zawadi kutoka South Africa..
Ila kwa sasa nishatoka huko nilikuwa najaribu kushare experience yng ya mahusiano na walimu..