Ukitaka kuoa ,oa mwanamke mwalimu

Ukitaka kuoa ,oa mwanamke mwalimu

Kama ulikuwa huwajui wanawake walimu nao wanagawa uroda tu kama wa kada zingine. Ni chakula cha mabosi/staff, ni mapenzi mtindo mmoja hayaepukiki huko makazini!
 
Bado Kwasasa naendelea na biashara yangu ya kutokea kushoto naingia ndani ( winga)
59A9F415-6B15-4674-A962-B435CB21969D.jpeg

Twenzetu tandahimba tukawe ma-superstar😅
 
Ni walimu wa zamani sio wa sasa. Walimu wa sasa wamepigwa sana miti vyuoni, wanapoajiriwa wanapigwa sana miti na majamaa wa halmashauri, walimu wenzie, majamaa kutoka tamisemi, wadau mtaani
 
Wanawake walimu hawatumiki sana.
Wacha kujidanganya mkuu..

Ktk wanawake wepesi kulika ni walimu.
- ataliwa na mzazi wa mwanafunzi mradi awe na ushawishi.
-ataliwa na mwalimu mkuu au afisa elimu.

Tena wana nafasi nzr sn ya kutoka kituo cha kazi na kwenda kwenye uzinzi.
 
Walimu walikuwa zaman sasa hivi ni majambazi haswaa
Mtu kapata hyo ajira ya ualimu baada ya kukaa mtaani miaka Saba unategemea Nini

Mtu hyo kafanya kazi ya kusajili lain mtaani kaacha,
Kafanya kazi sheli kaacha,
Katambeza juice mtaani kaacha
Arf ndo unategemea et atakuwa wa kawaida
 
Back
Top Bottom