Ukitaka kununua kiwanja hakikisha survivey plan iko approved wizarani

Survey plan ikishakua approved wizarani utakuta kiwanjwa kimewekwa beacons (mawe ya wizara) means hapo kiwanja kiko sehemu sahihi kabisa na vipimo vimepitishwa
survey plan ndiyo nini? Pili Ni kweli kuwa mamlaka ya kuidhinisha survey plan yako mikoani sasa hivi?
niwekee mfano wa survey plan ambayo imeidhinishwa (if possible0
 
Dodoma Jiji kuna Kampuni moja hivi jina kapuni, kupitia baadhi ya vijana wake wasio waaminifu! na kwa kushirikiana na madalali wachache matapeli, imekuwa ikiwasababishia watu hasara isiyo na kipimo, kwa kuwazuia viwanja ambako ring road inapita, au viwanja vya watu wengine.
Umakini unahitajika sana
 
Asante sana. Swali: Ni kweli kwa sasa madaraka yako Mkoani ya approval of survey plan. Nadhani Waziri wa ardhi wa wakati huo Lukuvi alishusha madaraka hayo Mkoani. Am I right?
Yes sahv kila halmshauri wilaya husika wana department za maswala.ya ardhi ...wamefanya hivo ili kurahisisha upimaji wa ardhi katika ngazi mbali mbali
 
asante sana tena sana. nina ramani yangu nilikuwa na wasiwasi kuwa mamlaka hayo bado yako DSM/Dodoma....Regional land surveyor?
 
survey plan ndiyo nini? Pili Ni kweli kuwa mamlaka ya kuidhinisha survey plan yako mikoani sasa hivi?
niwekee mfano wa survey plan ambayo imeidhinishwa (if possible0
Survey plan ni ramani ya eneo husika ambayo imejumuisha

✦ Jina la mmiliki
✦ Ukubwa wa eneo
✦Mahali eneo lilipo
✦Number za beacons (mawe ya wizara)
✦Signature ya surveyor aliye pitisha huo mchoro na tarehe aliyo sign
✦Number ya kiwanja husika

Survey plan mpaka iwe approved lazima eneo lina vigezo vyote
 
Fine, asante. Mimi nimepata ramani ie survey plan, lakini hawajanipa hati yenye jina langu/au kwenye ramani hakuna jina langu. Is this correct! au nimepigwa!.
 
Retired Hiyo apo chini [emoji1313]
IMG-20231009-WA0058.jpg
 
Dodoma Jiji kuna Kampuni moja hivi jina kapuni, kupitia baadhi ya vijana wake wasio waaminifu! na kwa kushirikiana na madalali wachache matapeli, imekuwa ikiwasababishia watu hasara isiyo na kipimo, kwa kuwazuia viwanja ambako ring road inapita, au viwanja vya watu wengine.
Kuna viwanja nimenunua hapo Dodoma kupitia kampuni moja walikuwa wameingia mkataba na Jiji, nadhani ni waaminifu na hati za hivyo viwanja nilikuja kupatiwa.

Kuna viwanja nilitaka ninunue Kigamboni machale yakawa yananicheza nikaachana navyo
 
Fine, asante. Mimi nimepata ramani ie survey plan, lakini hawajanipa hati yenye jina langu/au kwenye ramani hakuna jina langu. Is this correct! au nimepigwa!.
Sijakuelewa unazungumzia hati miliki ya wizarani?

Coz hati huwezi pata hati miliki bila kupeleka nida yako hivyo ni lazima itoke na jina lako
 
ulisema ramani inakuwa na jina lako. Ramani yangu haina jina lkn mambo yote yako kama uliyotuma sasa hivi. (siy hati miliki)
 
Dodoma Jiji kuna Kampuni moja hivi jina kapuni, kupitia baadhi ya vijana wake wasio waaminifu! na kwa kushirikiana na madalali wachache matapeli, imekuwa ikiwasababishia watu hasara isiyo na kipimo, kwa kuwazuia viwanja ambako ring road inapita, au viwanja vya watu wengine.
Pia kuna kampuni inaitwa ARDHISOL wapo Morogoro, Tanga, Dodoma na Dar, usipokaa vizuri watakupiga asubuhi kweupeeee
 
ulisema ramani inakuwa na jina lako. Ramani yangu haina jina lkn mambo yote yako kama uliyotuma sasa hivi. (siy hati miliki)
Unajua mara nyingi survey plan haitoki kwa kiwanja kimoja so kama uliuziwa na halmashauri ya wilaya ,means kwenye survey plan itaonyesha jina la hilo eneo, Ukija kwenye hati sasa lazima liwe lako coz ni kiwanja chako sio mradi mzima
 
Ubarikiwe sana tena sana. Nimeelewa vema na kunitoa wasiwasi Eneo langu ni la viwanja 8 Over 1000 sq m. limepewa plot# location name etc etc
 
Anhaa so sahv ndo unafanya mchakato wa hati miliki
 
Sie wengine tushajizoelea chanika homboza uku nyumba unajenga apa choo hatua 15mbele na katikati ya choo na nyumba imepita bara bara naukiwa chooni unaoga uku unaangalia asiingie mwizi akanifungulia TV yangu apo apo sisi wenye vi IST na VITS kumsalimia jirani ni lazima ukipita umefunga vioo jioni ukiludi unakuta barabarani wamechimba msingi wa vyumba viwili [emoji1] [emoji1787] [emoji23] siunapitaga kwake
 
Habari wakuu,

Miaka ya hivi karibuni kumezuka makampuni mengi yanayouza viwanja, lakini katika hayo makampuni sio yote yanafuata taratibu katika upimaji wa viwanja,hali inayopelekea migogoro mingi wakati wa ku process hati miliki

Kuna umuhimu sana kununua kiwanja kilichopimwa na survey plan yake ni approved tayari wizarani.

Wauzaji wengi wa viwanja wanakuambia viwanja vimepimwa. Ila katika uhalisia ili kujiridhisha na upimwaji wa kiwanja husika ni muhimu muuzaji akuonyeshe approved survey plan kutoka wizarani. Nasisitiza hili coz ilishawai kunitokea nliponunua kiwanja kigamboni kwa kampuni moja hivi [emoji1313]

Kuna kampuni iliniuzia kiwanja kigamboni ambacho kina ukubwa wa 960sq, ila kumbe katika upimaji wao walikosea barabara walizibana sana nafkiri ni katika kutafuta faida kubwa zaidi

Sasa kimbembe kikaja walivyokua wanataka kuanza ku process hati walivyopeleka survey plan yao ikakataliwa ...ikabidi watumie surveyor mwingine kuja kupima tena

Walivyopima tena kiwanja changu kikapungua kutoka 960sq mpaka 835sq kutokana na kutanuliwa kwa barabara za mitaa. Ndo survey plan yao ikawa approved wizarani

Hivi viwanja vya siku hizi wauzaji wamekua wanapima kiholela bila kufuata taratibu zilizopitishwa wizarani , mwisho wa siku mtu ukija ku process hati unatumia gharama kubwa sana kutokana na makosa ya waliokuuzia kiwanja

Note:

Tuwe makini sana tunapotaka kununua viwanja hasa sehemu za miji
Kwa ufupi kabisa bila kuchanganya watu.
KABLA YA KUNUNUA KIWANJA HAKIKISHA UNAFANYA SEARCH.
Utajuwa ukubwa wa plot na umiliki wake.
Kama survey haikuwa approved maana yake hiyo kampuni haina umiliki wa hicho kiwanja.
Sasa wewe utamiliki vipi hicho kiwanja?
Kwanini wakuuzie kiwanja wasichomiliki?
Process ya wewe kuuziwa hicho kiwanja ni process ya kitapeli.
Search ni 40,000/-.
 
Sie wengine tushajizoelea chanika homboza uku nyumba unajenga apa choo hatua 15mbele na katikati ya choo na nyumba imepita bara bara naukiwa chooni unaoga uku unaangalia asiingie mwizi akanifungulia TV yangu apo apo sisi wenye vi IST na VITS kumsalimia jirani ni lazima ukipita umefunga vioo jioni ukiludi unakuta barabarani wamechimba msingi wa vyumba viwili [emoji1] [emoji1787] [emoji23] siunapitaga kwake
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] noma mkuu
 
Back
Top Bottom