utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,846
- 2,512
*Sustainable cities company limited (SUCI )
Hii ni kampuni changa na binafsi ambayo imeanzishwa na vijana wa kitanzania ambao wapo katika sekta ya ardhi kwa muda mrefu na wameamua kufanya kazi na wananchi kwa uaminifu mkubwa kwa kushughulikia changamoto tofauti tofauti zinazopatikana katika sekta ya ardhi.Lengo kuu ya kuanzisha kampuni hii ni;
● KUFAIDISHA
~Upimaji wa maeneo kwa ajiri ya kutafutia hati miliki ya eneo husika.
~Uuzaji wa viwanja vilivyopimwa na vyenye hati miliki.
~Ununuzi(tunanunua ) maeneo makubwa na kuyakata viwanja kwa ajiri ya kuviuza kwa watu wenye uhitaji wa kujenga(matumizi mengine ).
~kuyapa uthaman maeneo makubwa kwa ajiri ya matumizi mbali mbali mfano industry areas au maeneo kama uhitaji wa kuweka real estates.
~Uuzaji maeneo kwa malipo ya awamu(installment) kwa muda wa miez 12.
~utengenezaji wa ramani za majengo mbalimbali pia tonatoa huduma ya usimamizi wa ujenzi mpaka linapoisha kwa uaminifu mkubwa sana.
● KUELIMISHA
~ Kuelimisha(bure) namna ya matumizi ya maeneo kutokana na location lililopo na uhitaji wa jamii kwa muda muafaka.
~ Kuelimisha vijana namna ya kumiliki ardhi na njia za kupitia ili kuwa na uhakika wa maeneo wanayohitaji kununua au kujenga kukwepa migogoro isiyo na tija.
● KUUNGANISHA
~ Kukuunganisha na baadhi ya bank ambazo zitakupa mkopo wa kujenga nyumba ili mradi uwe na kiwanja chenye hati miliki na uwe mfanyakazi mwenye ajira ya kudumu au mfanyabiashara ambayo tutaweza kuangalia malengo yako.
~ Tunafanya urasimishaji wa maeneo mbalimbali (yaliyo holela na kuyafanya kupangika kwa hiyo kama unaishi maeneo yasiyopimwa tutafute kwa mawasiliano tujadiliane au fika ofisin kwetu.
● KUKUTANISHA
~ Pia tunafanya marketing kwa kampuni mbalimbali kwa mfumo wa Geo-information system(GIS).Mfano, kampuni ina bidhaa inahitaji wateja na ambao itawapata itahitaji kuwaweka katika mfumo ambao itakuwa rahisi kuwatambua sehem walipo kwa kutumia hiyo system ambayo itakuwa visible kwa management.hata akitokea marketer mpya rahis kuwatambua wateja ambao walishatengenezwa muda na wapo katika ramani za kampuni.
MAENEO TUNAYOUZA NA TUNAYO KATIKA KAMPUNI
[emoji830]UNUNIO -100miter kutoka barabara ya Lami kunduchi road
[emoji830]MBWENI MALINDI - 2.7km kutoka bagamoyo road kwa kishua
[emoji830]MBWENI JKT -3.3 km kutoka bagamoyo road kwa kishua sana
[emoji830]GOBA tegeta "A"- 4km kutoka mainroad ya Goba road
[emoji830]KIGAMBONI kisarawe 2 -12km kutoka ferry na 1km kutoka Kibada centre
[emoji830]KIGAMBONI gezaulole -12km kutoka ferry pia beach plots
[emoji830]VIKAWE baobab secondary-5km from bagamoyo road
[emoji830]VISIGA ZEGERENI -6km kutoka morogoro road
[emoji830]Tuna eneo la kuweka petrol station tena zuri sana njia ya Kibada to mwasonga only 1km kutoka kibada centre barabara ndo inapigwa Lami asaiv
[emoji830]Tuna maeneo mawili ya petrol station Bagamoyo road (baobab secondary ) pale kwenda Kibaha centre barabara ipo katika mpango wa Lami.
MAENEO TULIYONAYO KWENYE PROCESS YA SURVEYED PLAN MUDA WOWOTE TUTAYAWEKA SOKONI
[emoji830]GOBA(njia panda ya mbopo)-1km kutoka Goba-madale road
[emoji830]GOBA(kisauke)-500miter kutoka Goba-madale road
[emoji830]BUNJU"A"(mianzini) -1km kutoka bagamoyo road
[emoji830]MADALE(kwa kawawa )-5km kutoka bagamoyo road
NB; Kumbuka malipo yetu sisi tunafanya kwa installment ya miez 12, pia tuna deal na taasisi mbali mbali katika biashara zetu karibuni.
Hivyo basi wanaohitaji huduma zetu tunapitikana
SUCI COMPANY LIMITED
Location ;Kinondoni
area ;Mbezi beach Tangi Bovu
Jengo; NBC house (ghorofa ya tatu).
Plot no; 578
Block no; B
Mawasiliano; 0713132109, 0752602988
Email; sucicompany@gmail.com