Ndo paroko alivyo kufundisha?Usiku mwema wadau.....Leo nimeona niwape siri mojawapo ya kuwawin hawa viumbe. Kwa maligendary hii haiwahusu sana labda muongeze maarifa tu.
Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Jimmy na Suzzy (mfano)
Hayae twende sawa;
Jimmy: Mambo vipi mrembo
Suzzy: Safi tu Jimmy uko poa
Jimmy: Niko poa tu mrembo
Suzzy; Basi fresh
Jimmy: Mrembo samahani kuna jambo nawiwa nikwambie ila moyo unasita nahisi kama nitakukwaza
Suzzy; Jambo gani tena hilo Jimmy ujue we mchokozi
Jimmy; Yaani Suzzy ujue nilivokuona tu nimetokea kuvutiwa sana na wewe
Suzzy; Jamani kwa kipi tena mbona kawaida
Jimmy; Kiukweli umeumbika kinoma yaani I wish ningekuona mapema yani kwa uzuri ulionao huwezi fanana na yeyote
Suzzy; Ahsante
Jimmy: Natamani tuongee zaidi ya hapa unaweza nipa namba yako kama hutojali
Suzzy; Hayae 0769XXXXX8
Jimmy; Ahsante Suzzy
Baada ya hapo ukifika home mpigie mara moja au mtext tu kumjulia hali halafu mkaushie mkaushie kaushia mkaushie mkaushie na ujikeep buzy wanawake wanapenda wanaumee strong wanaoweza kucontrol hisia zao. Usimshobokee sana tulizana tu.
Mbinu hii inaitwa resilient trick
Yaani asipokukubali aisee jiite mbwa koko.
Nguvu na majeshii yote nayaelekeza kwako sasa😂Yeaaahhh..!! Typically, romantically, physically..!!
Malizia na cally zingine 😹😹😹
Hahah ila wanawake, mi Demu Akishakuwa analala na wazee kama hawa Hana maana tena kashajikatia tamaa
Ukishashatumia hili neno dem gen-z humpati labda awe mtendaji wa kata au afisa maendeleonawiwa
Akiruka kwenye hela, mwambie utampa simu Kali hapo hawachomoki, mwambie tu lini utakua free ukaxhague simu Kali, kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaHaijalishi demu ni sister duu, pisi kali, mshangazi au hata mwanafunzi
Sasa demu unataka kupiga na kusepa, uanze kujisumbua kutongoza ya nini?
Mara maua, mara kupigiana simu mara vi text vya umekula??
Huoni kama hapo unatengeneza mazingira ya gharama zisizo za lazima??
Go straight to the point, hata akikataa inakua win win situation maana hajala hata tsh mia yako.
Otherwise labda kama unatongoza wa kuoa.
Watoto wa 2000 mnaamini sana kwenye mitongozo ya simu. Sisi wakubwa zenu enzi hizo tulitumia mbinu hatarishi sana kwenye kutongoza.Usiku mwema wadau.....Leo nimeona niwape siri mojawapo ya kuwawin hawa viumbe. Kwa maligendary hii haiwahusu sana labda muongeze maarifa tu.
Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Jimmy na Suzzy (mfano)
Hayae twende sawa;
Jimmy: Mambo vipi mrembo
Suzzy: Safi tu Jimmy uko poa
Jimmy: Niko poa tu mrembo
Suzzy; Basi fresh
Jimmy: Mrembo samahani kuna jambo nawiwa nikwambie ila moyo unasita nahisi kama nitakukwaza
Suzzy; Jambo gani tena hilo Jimmy ujue we mchokozi
Jimmy; Yaani Suzzy ujue nilivokuona tu nimetokea kuvutiwa sana na wewe
Suzzy; Jamani kwa kipi tena mbona kawaida
Jimmy; Kiukweli umeumbika kinoma yaani I wish ningekuona mapema yani kwa uzuri ulionao huwezi fanana na yeyote
Suzzy; Ahsante
Jimmy: Natamani tuongee zaidi ya hapa unaweza nipa namba yako kama hutojali
Suzzy; Hayae 0769XXXXX8
Jimmy; Ahsante Suzzy
Baada ya hapo ukifika home mpigie mara moja au mtext tu kumjulia hali halafu mkaushie mkaushie kaushia mkaushie mkaushie na ujikeep buzy wanawake wanapenda wanaumee strong wanaoweza kucontrol hisia zao. Usimshobokee sana tulizana tu.
Mbinu hii inaitwa resilient trick
Yaani asipokukubali aisee jiite mbwa koko.
Wanafunzi wa mapenzi itawajua! Wahi shule kuna pre-form five ujueUsiku mwema wadau.....Leo nimeona niwape siri mojawapo ya kuwawin hawa viumbe. Kwa maligendary hii haiwahusu sana labda muongeze maarifa tu.
Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Jimmy na Suzzy (mfano)
Hayae twende sawa;
Jimmy: Mambo vipi mrembo
Suzzy: Safi tu Jimmy uko poa
Jimmy: Niko poa tu mrembo
Suzzy; Basi fresh
Jimmy: Mrembo samahani kuna jambo nawiwa nikwambie ila moyo unasita nahisi kama nitakukwaza
Suzzy; Jambo gani tena hilo Jimmy ujue we mchokozi
Jimmy; Yaani Suzzy ujue nilivokuona tu nimetokea kuvutiwa sana na wewe
Suzzy; Jamani kwa kipi tena mbona kawaida
Jimmy; Kiukweli umeumbika kinoma yaani I wish ningekuona mapema yani kwa uzuri ulionao huwezi fanana na yeyote
Suzzy; Ahsante
Jimmy: Natamani tuongee zaidi ya hapa unaweza nipa namba yako kama hutojali
Suzzy; Hayae 0769XXXXX8
Jimmy; Ahsante Suzzy
Baada ya hapo ukifika home mpigie mara moja au mtext tu kumjulia hali halafu mkaushie mkaushie kaushia mkaushie mkaushie na ujikeep buzy wanawake wanapenda wanaumee strong wanaoweza kucontrol hisia zao. Usimshobokee sana tulizana tu.
Mbinu hii inaitwa resilient trick
Yaani asipokukubali aisee jiite mbwa koko.
Wengine bado hatujapata ada na nauli , muda uvute kidogo aisee.Shule zifnguliwe tu
Yeah ExactlyAcha porojo dogo, Pesa ndiyo kachumbari ya penzi.
Umalaya tuUsiku mwema wadau.....Leo nimeona niwape siri mojawapo ya kuwawin hawa viumbe. Kwa maligendary hii haiwahusu sana labda muongeze maarifa tu.