Ukitaka kumtosa mwanaume mpige kizinga tu

JF kila siku najifunza jipya...
 
90% ya,wanawake ndo
Mawazo yao yaliko
Fka mwisho hapo

Wakijaribu kuwaza zaid n
Kwenda kuweka miguu
Kaskazn na kusin

Dirishan na mwisho wa kitanda
 
Wanawake mnapenda hela kama (mfuko)hata mm napenda hela zangu,unafanya biashara au ina TV ndani?mpaka mazoea ya kuombana hela mm nishafanya yangu mbeleee,ukiambulia sana soda.
 
kakwambia nani kupewa hela ndo kutoa papuchi????

Hajui, mwambie huyo. Kuna watu wanahudumia na mwisho wa siku anaishia kuiona kwenye sketi tu. Mie km sikupendi ht unipe hela kiasi gani ila hutakaa uione.
 
Wanawake mnapenda kuomba hela hadi mnatia Ainu. Mpaka wake za watu ni kupiga mizinga tu
 
Hakuna kitu kama hicho vizinga tumezoea maana ndo tabia zenu.
 
Ndio njia ya kumkatalia MTU first day mueleze shida yako unadaiwa milioni atakufata tena
 
Hajui, mwambie huyo. Kuna watu wanahudumia na mwisho wa siku anaishia kuiona kwenye sketi tu. Mie km sikupendi ht unipe hela kiasi gani ila hutakaa uione.

Labda kama sio hela hizi ninazo zjua, ila kama ni hela utatoa bila shuruti..unajua kuna vijihela na kuna mihela acha ww dada mliumbwa na tamaa nyinyi wapo waliosema hvyo hvyo ila yakawashinda...money is M'faka
 
Ndio njia ya kumkatalia MTU first day mueleze shida yako unadaiwa milioni atakufata tena

[emoji23][emoji23][emoji23] ukisema unashida na 1M nakuuliza kwani nikikupa 5M kwa after 2wks si ztamaliza shida..[emoji849]hapo utaanza na zoezi la kupiga selfie ukiwa upo mlimani city umetoka kununua gucci ..ndege mjanja....
 
Labda kama sio hela hizi ninazo zjua, ila kama ni hela utatoa bila shuruti..unajua kuna vijihela na kuna mihela acha ww dada mliumbwa na tamaa nyinyi wapo waliosema hvyo hvyo ila yakawashinda...money is M'faka

Uzuri huwa sichukui hela ya mtu km sijampenda, ukiona nimekubali kupokea ujue nimekupenda otherwise nimeridhika na mshahara wangu.
Na kuna wanaume malimbukeni, anaona kutanguliza hela ndio kupendwa, wadada wanaojitambua wala hawababaiki na hela za mtu.
 
Ni KWELI ila kizinga hakifanyi nikuache hivihivi papuchi inaliwa na Pesa hapati jiulize mbinu gani tunatumia
 

Hìvi karne hii kuna mwanamke mwenye uthubutu wa kumtosa mwanaume??? Huyo mwanaume atakuwa si rizki...

Hakuna mtihani unaotukabili wanaume kwa sasa kama kuwakwepa wanawake....Hakuna!
 

Hakuna mwanamke anaejitambua when it come to money mama..[emoji23][emoji23][emoji23]hata sisi wanawake tulionao wanamishahara mikubwa ila hela tunawapa tu..kupenda kunaongezewa na vtu vingi ikiwemo uwezo mwanamke gani anataka aishi na mwanume fukara..[emoji12]acheni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…