Ukitaka kumtosa mwanaume mpige kizinga tu

Ukitaka kumtosa mwanaume mpige kizinga tu

am a girl

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
748
Reaction score
506
Mambo yale ya kusema ooh nina boyfriend sijui am taken yashapitwa na wakati. Siku hizi ukiona a mwanaume anakufatafata and humtaki we mpige kizinga tu uone, tena first day tu, mara moja anakoma ni wachache sana wataendelea kusumbua after "kizinga".


a2cf3a0a17439c5a98cab26f18089fbb.jpg
 
hiyo ni kweli...Kuna demu wangu mwaka jana alinipiga mzinga wa jero ya vocha nikam blacklist, siku ya mwaka mpya kwa kutumia namba nyingine akaniambia amejua kosa lake nkamwambia haina shida aende tu maana kunipiga mzinga mimi ni sawasawa na kutishia usalama wa maisha yangu.
 
hiyo ni kweli...Kuna demu wangu mwaka jana alinipiga mzinga wa jero ya vocha nikam blacklist, siku ya mwaka mpya kwa kutumia namba nyingine akaniambia amejua kosa lake nkamwambia haina shida aende tu maana kunipiga mzinga mimi ni sawasawa na kitishia maisha yangu.
 
Ujinga ni pale una mkadiria kidogo, unampiga kizinga halafu yeye anaona kama umeomba mia tano tu... LOL
unajikuta unatoa papuchi, kwa bei ya jioni halafu unajiona mjanja..
kakwambia nani kupewa hela ndo kutoa papuchi????
 
Ujinga ni pale una mkadiria kidogo, unaona umempiga kizinga halafu yeye anaona kama umempa papuchi lako kwa jero tu...LOL
halafu unaenda kutangaza kuwa umemkomesha na yeye anaenda kukutanga amekuokota kwa bei ya jioni
Ukitoa papuchi ujue una interest nae.
Ukipiga kizinga akatoa, humpi nafasi ya kupumua unapiga kingine kikubwa zaidi.
 
mambo yale ya kusema ooh nna boyfriend sijui am taken yashapitwa na wakati.

siku hizi ukiona a man anakufatafata and humtaki we mpige kizinga tu uone,tena first day tu,mara moja anakoma.

ni wachache sana wataendelea kusumbua after "kizinga".


a2cf3a0a17439c5a98cab26f18089fbb.jpg

Unapewa tu Hata iwe day 1 na uombe milion Ila jua tu na kiboga lazima kiliwe !! Hela nyingine Za moto unashangaa tu unatamani kuja ghetto mwenyew! Hivi inakuaje mdada anakupa number yake kilaini na hamjuani alafu ukiomba utasikia oooh Nina mpenz ngachoka Mimi sasa ulidhani nimeomba number yako ili nione picha zako za vichupi tu Whatsapp profile? Shame !! Ukiona kidume anakulazimisha kutoa number jua huyo chizi! Muitie mwizi ! Na magufuli huyu hata hautumii nguvu sana
 
Hahahaaa, yaani ukipiga kizinga nakukubalia kuwa nakupa, nami straight foward naomba papuchi.

Ukijibu hunipi, ndo utakuwa umekosa pumzi ya kuendelea kukumbushia kizinga chako. Ukikubali pesa unakuja kuichukulia nyumbani kwangu.

So msidhani kama mmetukomoa katika kuwatongoza.

So njoeni na njia nyingine.
 
Back
Top Bottom