Ukitaka kumkera msichana muombe namba ya rafiki yake

Ukitaka kumkera msichana muombe namba ya rafiki yake

Angalia pm mekutumia zote kuanzia ya tigo, airtel, voda, zantel, smart na halotel

Kamatia fursa [emoji41]
Dooh...hii fursa nzito...poa ntakupigia leo akishalala![emoji4]
 
Piga sasa hivi nikuelekeze ili baadae ukamatie chini, huoni hali ya hewa

And mi auti [emoji125]

sasa hivi baridi hahaha...
sina ujanja bado hujafanya kweli[emoji2]
 
Kama huyo Rafiki yake anadoea pesa zangu basi lazima aliwe au aache kufuata njia za mlo... kwani mla huliwa
 
Wanawake viumbe wa ajabu unakuta mtu huna mpango nae lakini siku jaribu kumuomba namba ya rafiki yake, Utasikia muombe mwenyewe, wengine wanaenda mbali eti sina namba yake wakati ni marafiki walioshibana, bahati haivutwi kwa kamba wewe unayebania namba ukitongozwa unaleta pozi.

Sasa ole wako uipate namba kwa juhudi zako utazushiwa uzushi kila namna mara una ngoma mara we unabadilisha wanawake kama nguo, acheni kubania namba za wenzenu mtapata thawabu
Chai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom