Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 773
- 2,161
Yani safiri ikibidiHuko kwao nafikaje dear nipo mbali zaidi ya kilo meter 1600
Kuliko uolewe afu uachike baada ya muda mfupi kisa ndugu
Yani safiri ikibidiHuko kwao nafikaje dear nipo mbali zaidi ya kilo meter 1600
Hahaha nilikuwa na rafiki yangu mtu wa kigoma ,,,Muha ni mbishi hatari…ni mtu wa Mungu sana… alikuwa ananipa story za kwao uko kigoma walikuwa wana dawa ambazo wakizipaka wanamkamata nyoka tena koboko kwa mkono na analegea na pia anasema kwao wachawi huwa hawakatizi maana ndugu zake wana dawa za kuwaona wachawi na kuwashika….Nishawah muuliza unaamini mambo ya uganga akasema hapana
Nikamuuliza ushawahi kwenda kwa mganga akasema aliwahi pelekwa zamani akiwa anaumwa sana na mama ake
Mfano kama Kipi mkuu? Nitajie madhara yakutokifahamu kama ukiamua kukipotezea.Hapana mkuu kuna baadhi ya vitu ni hatari sana its better ukavifahau mapema!!
Hii nimeielewa Comrade Liu Yang. Kwamba mashaka ni ishara ya upendo kutokuwepo.Achana na unachotaka kufanya, Kama Una mashaka Nae Muache, Hujampenda.
DungaEmbeSasa ulinikataa mimi wa mkoa mmoja ukalifuata limshikaji la huko mbali kisa ana katoyota vitz tena ka urithi, sasa ngoja yakukute. Mother fanta wewe.
Id yako inaashilia kuona manyoya tuFunga siku 40 na utoe sadaka ,utapata majibu. Maana ni jambo kubwa hilo.
Mengine naomba nikushauri PM kama utakubali mwl Nisogelee?.
Kumbe na kuzini tayari! Apuuu endeleeni jf imeshabalikiYeah naelewa but sitaki kuendelea na zinaa naona mtu yupo tayari na Mimi najisikia wito wa ndoa ni bora niende tu
Watu mnaona mbali sana...Id yako inaashilia kuona manyoya tu
Hahaha nilikuwa na rafiki yangu mtu wa kigoma ,,,Muha ni mbishi hatari…ni mtu wa Mungu sana… alikuwa ananipa story za kwao uko kigoma walikuwa wana dawa ambazo wakizipaka wanamkamata nyoka tena koboko kwa mkono na analegea na pia anasema kwao wachawi huwa hawakatizi maana ndugu zake wana dawa za kuwaona wachawi na kuwashika….
Huyu jamaa nilimuogopa sana na alikuwa room mate alikuwa anaweza kukuamsha usiku wa manane kukwambia kuna mchawi anataka kumshika….yaani alinichanganya sana na alikuwa anasema ameokoka na unamkuta ana sali!
Watu wa Kigoma wengi wao wanapenda sana ushirikina sana sana …
Lakini kama unampenda usijali kabisa olewa tuu sio kila mtu ni mshirikina
Makucha atafungulia ndani.Nyie bebaneni tu mtavumilana hukohuko
Nenda kwao kama wazazi wapo. Utakavyopokelewa,utajua anakufaa au la. Lakini kumbuka,na wewe hapo hapo huo ni mzani upande wako.