Ukitaka kumchunguza mwanaume

Ukitaka kumchunguza mwanaume

Nenda Kwa mchungaji mwambie unatafuta mume.Mchungaji atamsubiria kijana yeyote mwenye Nia ya kuoa.Mtaingia kwenye maombi ikiwemo mchungaji kama ni mpango wa Mungu utaolewa naye mtaishi Kwa raha.
Mshirikishe Mungu Sana.

Hiyo Logic yako nafikirii sio kwa wachungaji wote wataelewa

Kwa umri wangu watanishangaa niseme natafuta mume

Pia sitaki Kijana yoyote nataka yule mwenye vigezo vyangu sio wa kutafutiwa nataka wa kunitafuta mimi sio mimi nimtafute yeye
 
Ndoa Haina umri Mamy...

Wakati wa Mungu ndo sahihi
 
Waende na mchumba wake kwa mchungaji ambaye ana macho ya Rohoni, ombe alafu ataoneshwa kuwa ni wake au sio wake ajue moja...

ndugu huko kanisani nilishaharibu kwa jambo hili tu watanambia dhambi tupo dhehebu tofauti tena langu ndio lile tunaoana wenyewe kwa wenyewe
 
Ili ndoa yako ifike mbali achana na hicho unachotaka kukijua,si umempenda? Sukiliza anachokwambia Acha kujitia mwana historia,mapenzi hayana historia wala background.

Anaweza akawa alikua mchungaji mtakatifu kumbe Ushetani akaja ku uanzia kwako.

Anaweza akawa alikua mpotofu asie na future player wa hisia za wanawake kumbe Kutulia akaja anzia Kwako.

Achana na unachotaka kufanya, Kama Una mashaka Nae Muache, Hujampenda.
Hapana mkuu kuna baadhi ya vitu ni hatari sana its better ukavifahau mapema!!
 
Ili ndoa yako ifike mbali achana na hicho unachotaka kukijua,si umempenda? Sukiliza anachokwambia Acha kujitia mwana historia,mapenzi hayana historia wala background.

Anaweza akawa alikua mchungaji mtakatifu kumbe Ushetani akaja ku uanzia kwako.

Anaweza akawa alikua mpotofu asie na future player wa hisia za wanawake kumbe Kutulia akaja anzia Kwako.

Achana na unachotaka kufanya, Kama Una mashaka Nae Muache, Hujampenda.

Nimekuelewa
 
Kwaiyo wazazi wakiuliza ninamfahamu nijubu tu ndio
 
Mapenzi ni imani kama zilivyo imani zingine, mapenzi ni kuchukua risk kama ilivyokatika mambo mengine.

Kikubwa ukimsimamisha yeye kama yeye bila kumuambatanisha na mtu yeyote anatimiza walau 65 ya vigezo vyako? Kwenye checklist yako umefanikiwa kutick vibox vingapi? Ukim-rate over 10 unaonaje?

Familia na koo za watu ni madude makubwa ambayo ukianza kuchunguza hutaoa wala kuolewa, atleast kuna ile immediate family, wanaochunguza ukoo ndio ambao mimi siwaelewi.

Ukweli ana kizi vigezo na ni the best kati ya wale niliokuwa nao…

Kwenye kuchunguza ukoo hapo ndio mama angu ana maswali sijajua ni uoga wake kwamba natolewa home au ni anajaribu kunilinda
 
Mfano kama ushirikina

Sasa hapo nawaza nitachunguzA nitaanzaje kujua hilo
Achaa tu! Kuna familia nyingine ni Hatari sana! Hili ni gumu sana kujua pale mwanzo kama mtu hajakwbia mwenyewe!

Mwingine anahofia kukupoteza hakwambii anamute tu mabalaa unakutana nayo badae sana!🙌🙌🙌!

Kaa mbali na familia yenye washirikina asee ni hatari sana!
 
Mimi naona endeleeni mlipokutania. Msioane kwanza peaneni muda wa kujuana vizuri. Mwaka tu utajua unayopaswa kujua.

Maswali ya msingi muulize mfano kama ana watoto akikujibu kwa kukudanganya baadae itakuwa ngumu kwake.

Muulize pia kama alishawahi kuoa akaachana na mke wake. Kama ndio muulize kama waliachana kisheria?

Ila kikubwa mkapime yale magonjwa muhimu.
Umemaliza kila kitu Mkuu.
 
Back
Top Bottom