Ukitaka kumchunguza mwanaume

Ukitaka kumchunguza mwanaume

Kumbuka hapo ukija kupatwa na lolote wazazi wako lazima watakulaumu..

Naona hawapo upande wako maana wao wanaamini kanisa lao..

Yeah naelewa but sitaki kuendelea na zinaa naona mtu yupo tayari na Mimi najisikia wito wa ndoa ni bora niende tu
 
Chomoka nenda kwa Nabii unayeona kuwa ni Nabii wa kweli...

Nenda utajua Kila jambo...

Ndoa sio sherehe ni mkataba...

Sikutishi Mamy

aiseee mama katika watu siwaamini ni manabii

Acha tu niombe mwenyewa

Labda kuna mchungaji fulani mtoto wake ni rafiki yangu huyo kidogo yuko peace nitajaribu kumshirikisha
 
Nipeni mbinu ukitaka kumchunguza mwanaume anaetaka kukuoa unamchunguza vipi yaani kwa namna gani?

Nauliza hivyo kwasababu tumekutana ukubwani kila mtu anaishi mkoa wake hatuna background yoyote hatujuani yaani

Sasa inatokea tunaishi mbalimbali inakuwa ngumu mimi kumjua au kuwafahamu ndugu zake…

Yaani sina pa kumuulizia kuhusu tabia yake ni mtu wa aina gani ukoo wake ni vipi… nachojua ni yeye tu anachoniambia vingine sivijui

Nipeni mbinu jamani nisije kudandia mtumbwi wa vibwengo
Muombe Mungu tu atakuonyesha haya ya kuchunguzana litakukuta jambo
 
Chomoka nenda kwa Nabii unayeona kuwa ni Nabii wa kweli...

Nenda utajua Kila jambo...

Ndoa sio sherehe ni mkataba...

Sikutishi Mamy
Hata yeye mwenyewe kama ana imani / macho ya rohoni kuna vitu ataviona au kuoneshwa/ oteshwa!
 
Nipeni mbinu ukitaka kumchunguza mwanaume anaetaka kukuoa unamchunguza vipi yaani kwa namna gani?

Nauliza hivyo kwasababu tumekutana ukubwani kila mtu anaishi mkoa wake hatuna background yoyote hatujuani yaani

Sasa inatokea tunaishi mbalimbali inakuwa ngumu mimi kumjua au kuwafahamu ndugu zake…

Yaani sina pa kumuulizia kuhusu tabia yake ni mtu wa aina gani ukoo wake ni vipi… nachojua ni yeye tu anachoniambia vingine sivijui

Nipeni mbinu jamani nisije kudandia mtumbwi wa vibwengo
Ukimchunguza sana bata, hutaweza kumla. Achana kabisa na hizo mambo. Wewe angalia kama mtaweza kuishi maisha marefu, mkubalie tu.
 
Chomoka nenda kwa Nabii unayeona kuwa ni Nabii wa kweli...

Nenda utajua Kila jambo...

Ndoa sio sherehe ni mkataba...

Sikutishi Mamy
Nabii gani wa kweli au ndio kina Masanja hawa?
20231113_223415.jpg
 
Nipeni mbinu ukitaka kumchunguza mwanaume anaetaka kukuoa unamchunguza vipi yaani kwa namna gani?

Nauliza hivyo kwasababu tumekutana ukubwani kila mtu anaishi mkoa wake hatuna background yoyote hatujuani yaani

Sasa inatokea tunaishi mbalimbali inakuwa ngumu mimi kumjua au kuwafahamu ndugu zake…

Yaani sina pa kumuulizia kuhusu tabia yake ni mtu wa aina gani ukoo wake ni vipi… nachojua ni yeye tu anachoniambia vingine sivijui

Nipeni mbinu jamani nisije kudandia mtumbwi wa vibwengo
Umchunguze ili iweje?

Au unatafuta red flag umpige chini?

Uko tayari na wewe akuchunguze akikukuta na red flag yoyote akupige chini?
 
Back
Top Bottom