Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,247
- 25,191
Uchawi ndio funga kazi, maana ni agano la kiazazi na kiazazi...Achaa tu! Kuna familia nyingine ni Hatari sana! Hili ni gumu sana kujua pale mwanzo kama mtu hajakwbia mwenyewe!
Mwingine anahofia kukupoteza hakwambii anamute tu mabalaa unakutana nayo badae sana!!
Kaa mbali na familia yenye washirikina asee ni hatari sana!
Mikosi, kafara, magonjwa...
Uchawi ni balaa


