Ukitaka kumchunguza mwanaume

Ukitaka kumchunguza mwanaume

Chunguza tena nasema chunguza...

Sio Kila ukoo inafaa kuoa au kuolewa...

Chunguza kiroho na kimwili...
Wewe Umeolewa?

Ukoo, Kiroho, Kimwili .!! Mwanaume kabisa umchunguze kwenye ayo maeneo?

mwanaume mwenye malengo nawewe yupo radhi kukufanyia chochote ilimradi ubaki kwenye himaya yake[kama ni umalaya atapunguza, kama ni kusali ataanza, n.k]. sasa ukijitia ujuaji wa kumchunguza tu umeisha.
 
hakuna haja ya kumchunguza maana ukimchunguza itabidi uanze maisha ya kuigiza. hivyo mkaendelea na maisha yenu bila kuchunguzana waliosena ukimchunguza sana bata humli hawakukosea.

kikubwa kama tabia zake zimekuridhisha 75% maana hakuna mkamilifu. endelea nae universe itafanya ndoa ije na wala usiilazimishe ndoa kwake kwa kumsisitiza akuoe. hivi sasa hakuna kitu kina kera kama mwanamke akuulize utanioa...?

subiri ndoa itajiseti yenye kama huyo ni mtu umeandikiwa nae. ila hata kama haitokuja pengine huyo ni mwalimu amekuja kwako kuukomaza moyo wako na kukufundisha ya dunia.​
 
Nenda Kwa mchungaji mwambie unatafuta mume.Mchungaji atamsubiria kijana yeyote mwenye Nia ya kuoa.Mtaingia kwenye maombi ikiwemo mchungaji kama ni mpango wa Mungu utaolewa naye mtaishi Kwa raha.
Mshirikishe Mungu Sana.
 
Ahaa kama ndiokwanza mmeanza hapo yafaa umchunguze ili ujiridhishe!
Japo kuna vitu huwezi vijua kwa harakaharaka au pale mwanzo but as days goes ndio utavigundua!

Kuna vitu vichache sana nafahamu kumuhusu
Mfano.. umri , elimu,kazi yake, watoto anaomiliki na mahusiano yake na wazazi
 
Nenda Kwa mchungaji mwambie unatafuta mume.Mchungaji atamsubiria kijana yeyote mwenye Nia ya kuoa.Mtaingia kwenye maombi ikiwemo mchungaji kama ni mpango wa Mungu utaolewa naye mtaishi Kwa raha.
Mshirikishe Mungu Sana.
Waende na mchumba wake kwa mchungaji ambaye ana macho ya Rohoni, ombe alafu ataoneshwa kuwa ni wake au sio wake ajue moja...
 
Mindset ya nyie wanawake kuweka mbele pesa, kuliko aina ya tabia ya mtu unaeolewa nae, ndo inawafanya wengi mumchague baraba kama mume na kumkataa Yesu (mume mwenye nia nzuri na nyie).

Mfano mzuri ni my late mother may she rest in peace alichagua baraba(baba yangu) na kumwacha mume mwema hali iliyopelekea afariki mapema mamamzungu

Hahaha huo ni utani my dear kutokana na comments yake

Pesa sio mapenzi ila zikikosekana yanapungua
 
Usije kuweka mitihani ya kumpima.. binafsi nachukia sana kupimwa uaminifu wangu kwa kuwekewa vimitego uchwara.

Kuna mmoja nikamwambia kabisa wee nipime tu, nikianza mie kukupima usianze kulia lia.

Yeah nimefikia pia hilo hata mimi nina mambo yangu ya nyuma akisema anifuatilie sijui hahaha

Sema napata pressure navyoambiwa nimchunguze
 
Ili ndoa yako ifike mbali achana na hicho unachotaka kukijua,si umempenda? Sukiliza anachokwambia Acha kujitia mwana historia,mapenzi hayana historia wala background.

Anaweza akawa alikua mchungaji mtakatifu kumbe Ushetani akaja ku uanzia kwako.

Anaweza akawa alikua mpotofu asie na future player wa hisia za wanawake kumbe Kutulia akaja anzia Kwako.

Achana na unachotaka kufanya, Kama Una mashaka Nae Muache, Hujampenda.
 
T

ufunge uzii
 
Mapenzi ni imani kama zilivyo imani zingine, mapenzi ni kuchukua risk kama ilivyokatika mambo mengine.

Kikubwa ukimsimamisha yeye kama yeye bila kumuambatanisha na mtu yeyote anatimiza walau 65 ya vigezo vyako? Kwenye checklist yako umefanikiwa kutick vibox vingapi? Ukim-rate over 10 unaonaje?

Familia na koo za watu ni madude makubwa ambayo ukianza kuchunguza hutaoa wala kuolewa, atleast kuna ile immediate family, wanaochunguza ukoo ndio ambao mimi siwaelewi.
 
Back
Top Bottom