rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,976
Sababu ya majukumuu ya familia..Mwanaume husahau kwao ila mwanamke hasahau kamwe ,mkeo yupo tiyari kutuma hela nyumban kwao ilihali kwenu kuna njaa
Sababu ya majukumuu ya familia..Mwanaume husahau kwao ila mwanamke hasahau kamwe ,mkeo yupo tiyari kutuma hela nyumban kwao ilihali kwenu kuna njaa
Na wew hutachangiwaaa...!! Ikifika pambana na hali yako lakini lazima ndugu waje kusheherekea hapo kwako... Achaa ubinafsiii sababu umepataa.mafanikio kujiona huitaji msaada tena bhasi unajitoa kusaidia wenginee...Hakuna hoja hapa.
Subiri nawewe uoe then uone kama fungu litatosha kuligawanya kwa familia yako na kwenu Kama mwanzo.
Ukishaoa simply umeongeza majukumu, Sasa kama mwanzo ulikua unatuma pesa nyingi kwenu basi ,zitapungua kwa sababu mzigo umeongezeka, tatizo la familia zetu ni kulaumu sana, unakuta Dada anataka umpe pesa, shangazi anataka pesa, rafiki yako wa primary anataka pesa, mtoto wa mjomba anataka pesa, sijui mtoto wa nani anataka pesa hivi mnadhani pesa tunazitoaga wapi eti???
Kibaya ni pale ukweni nao wanapoamua kukutumia kama source of income, hivi hamjui Kama nasi tuna wazazi na ndugu zetu wanahitaji msaada?
Kila mtu akomae, msaada hua sio lazima ni kupenda kwa mtu.
Mimi binafsi nishapiga marufuku misaada ya hovyo hovyo iwe ukweni iwe kwetu, kwa mfano sichangii harusi, kipaimara, send off, mahafali ya Darasa la Saba, mahafali ya form Four kwangu sichangii hata mia.
Mimi nachangia ela ya mtu kwenda shule, chuo, ugonjwa na mengine yanayofanana na hayo.
Alafu ndugu punguzeni lawama mjue hata sisi tunapigana kusimamisha familia zetu.

mtoto wa kiume wewe,walalamike dada zako sio wewe.nawe utakuwa kama kaka yako subiri upate jikoJamani kuishi kwingi kuona mengi.
Bro alikua bonge la mshua, ukirudi likizo akianza kukupa mipango ya baadae lazima upige saluti "hapa tuna jembe la ukoo".
Jamaa full optmistic, kila mchongo unaomshirikisha mpe siku kadhaa ngoma lazima itiki.
Kwenye majira kama haya ya sikukuu, yaani home full shangwe, mambo yakiwa hayaeleweki, utasikia mcheck bro mshua!!!
Sasa tangu alipooa, everything has fallen apart!!
Ukimpigia simu kuja kupokea ni mbinde
Yani ukimiss call, thubutu akikupigia.
Kifupi bro-mshua kachange ile mbaya ila kimtindo kama mashambulizi kaelekeza ukweni, kule mashemeji wote wanamuona bonge la King Mswati.
Wadau ebu tulidadavue hili, mbona mashujaa wengi wakishaoa ndo basi tena?
Wapi tunakosea ili ujifunze yasitukute na sisi?
Wazee wa sampuli hizi ,ukisikiaga ndugu wanakwambia umechange huwa unachukuaga hatua gani?
Regards.
Merry Christmas guys.
Naomba nikuulize swali, wewe ni ke? je umeolewa?mambo mengi yanayoongelewa na ndugu ni ya kisadikika tu. Kama hayo ya mtu kujenga kwa mke wake yanawezekana yapo but kuna uzushi mwingi sana kutoka kwa ndugu na ndio maana unakuta wanaume wengi wakishaona hayo mauzushi wanakuwa kama wanajitenga, kuna madada ambao wao wanataka waendelee kuishi na kaka yao kama vile wakati hajaoa na ndio hao wanachochea vingi vya uzushi. Cha msingi mimi binafsi ntasaidia wazazi lakini si kwa kile kiwango kama wakati sijaoa sasa hapo lazima waone difference na kuanza sema bro amechange na kuangusha zigo kwa mke wa bro. Huyu mleta mada hajaoa hope atajifunza,Hilo najua lipo ndio mana nikasema mtu akioa automatic majukumu huongezeka hivyo atafocus katika familia yake kuliko ndugu.
Hapa nilichoongelea mimi ni ile kujitahidi asiache kabisa kusaidia hata kama ni kwa kiasi kidogo.
Kumbuka kuna wanaooa na kuacha kabisa kusaidia kwao hilo ndio sitaki litokee.
Lawama zipo mana binadamu sisi haturidhikagi hilo kawaida mbona.
Cha muhimu asiache yale ya msingi anayopaswa kuyafanya kama uwezo anao.
Nadhani umenielewa
Inayegemea na mwanaume mwenyew, mi nko nyutro hom stoi, ukweni stoi anaetaka raha aje kwanguKwa hili swala wanawake wanachangia kwa 80%, kama kapata mwanamke nae ndo anavutia kwao tu ukweni haangalii basi hapo ndugu mumsahau kabisa. Ila nawachukia sana wanawake wa hivyo.