Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

Hlf na mke anaona fresh tu?
Mm sijaolewa lkn huyu nilienae namsisitiza basi angalau once per week kuwajulia hali nyumbani si mbaya hasa jpili. Mwanzo ilikuwa shida ila sasa hv nashukru amezoea.
Yes na mke anaona powa tu. Na kwanza ndio akiona ndugu wanamkaribia kaka .anatengeneza ugomvi. wakati niko chuo niliwahi kumwambia kaka anakoelekea sio (kipindi hiko mawasiliano hayakuwa hafifu sana.) Baada ya kumaliza chuo ndio akapotea kabisa.. yaaani kabisa, hataki hata kuonana na ndugu wa kwao
 
Mim kaka yangu alikua akimuambia mama akipata kazi atamjengea nyumba,maana kasoma kwa shida,,
Alivyopata kazi tu cha kwanza kuwaza ni kuoa,na kanunua kiwanja ajenge kwake keshasahau kila kitu
Wanaume wachache sana wakioa hujali kwao
Sisi watoto wa kike wengi hujali nyumbani kwetu ,tunawazidi wanaume
 
Mi nashangaa...akioa mtu unamfatafata nini?Yanini unamfatilia maisha yake?Kwanini watu mnapenda attention namna hii?

Alipokua hana mtu,akatokea mtu kuziba void,lazima change of habit iwepo,wewe na ukoo mzima mnatakiwa mkae kando mfate yenu...

Jembe la ukoo so what?Hakuna kitu kinaitwa ukoo....ni abstract human social construct kutawala wengine waliomo kwenye huo ukoo.Ukoo ni one of the most stupidest idea ever...Ukoo ni za kufuta 100%...zinaprovide mwanya wa wengine kutawala wengine unfairly...all bad nightmares,bad treatments,subjugation,ubakaji,uuaji,uzulumati,etc unatokea kwenye koo hizi..thats the truth,take it to the bank....

F**k clans.

Hii tabia ya kufatafata maisha ya watu ndio yanaleta posts za hii.Ni pure kutokuelewa na kutokutimiza wajibu wa maisha binafsi mmoja mmoja....kwenye ukoo kila mtu afate chake,ajitegemee...hakuna cha vikao vya misaada or anything...everyone should die alone..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....die alone [HASHTAG]#nimechekasana[/HASHTAG]
 
Mi nashangaa...akioa mtu unamfatafata nini?Yanini unamfatilia maisha yake?Kwanini watu mnapenda attention namna hii?

Alipokua hana mtu,akatokea mtu kuziba void,lazima change of habit iwepo,wewe na ukoo mzima mnatakiwa mkae kando mfate yenu...

Jembe la ukoo so what?Hakuna kitu kinaitwa ukoo....ni abstract human social construct kutawala wengine waliomo kwenye huo ukoo.Ukoo ni one of the most stupidest idea ever...Ukoo ni za kufuta 100%...zinaprovide mwanya wa wengine kutawala wengine unfairly...all bad nightmares,bad treatments,subjugation,ubakaji,uuaji,uzulumati,etc unatokea kwenye koo hizi..thats the truth,take it to the bank....

F**k clans.

Hii tabia ya kufatafata maisha ya watu ndio yanaleta posts za hii.Ni pure kutokuelewa na kutokutimiza wajibu wa maisha binafsi mmoja mmoja....kwenye ukoo kila mtu afate chake,ajitegemee...hakuna cha vikao vya misaada or anything...everyone should die alone..
Povu la maana. Koo ni suala la ki Tamaduni acha kuchanganya na mapungufu yake its good thing.
 
Mi nilishajiaminishaga kuwa wanawake ni wabinafsi naturally, japo kuna vi-exceptions kiduuuchu
 
Mimi nijua wewe ni ke mana haya ndio mambo ya dada zetu hawawapendi mawifi zao
 
tafta zako mkuu. acha kutegemea za broo. huyo ana majukumu sasa na familia yake.
 
Kunamkoa fulan ukioa huko ujue nyumban kwenu ndo umeaga maana hutakumbuka km umetokea kimalampamba
 
maisha yanabadilika kulingana na mazinginra kama ilivyo kwa technolojia siku hizi undungu ni kwenye kuzikana
unapopambana na hali yako angalia usi disturb hali ya mwenzako.
siku hizi ukoo wako ni familia yako bro,nawe siku ukioa utajua hayo
 
MTEGEMEA CHA NDUGU HUFA MASKINI.... PAMBANA KIVYAKO
 
Mim kaka yangu alikua akimuambia mama akipata kazi atamjengea nyumba,maana kasoma kwa shida,,
Alivyopata kazi tu cha kwanza kuwaza ni kuoa,na kanunua kiwanja ajenge kwake keshasahau kila kitu
Wanaume wachache sana wakioa hujali kwao
Sisi watoto wa kike wengi hujali nyumbani kwetu ,tunawazidi wanaume
Hamtuzidi wanaume Bali mnatumia hyo naniliu yenu na visauti vya kimahaba kuelezea shida za nyumbani kwenu kila siku mpk kwetu tunasahau kuwa kunashida tunahitaji kusaidia
 
Dada we acha tu. Kila nikifikiria kumrudisha brother kichwa kinauma. Mwanzon alidhani maybe tunashida ya hela, lakin sasa ninakazi nzuri tu,familia iko salama,hatuhitaji chochote lakin ndio hivyo kama vile kajiuzulu undugu na familia yake ya dam kabisa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kijana mizinga kibongobongo haishi bro anaogopa cm ya home coz aliwazoesha kugawa minoti sahv waziri wa Mambo ya ndani amemkaba bro mpk akiona cm ya home anajua n mzinga
 
Jama kuishi kwingi kuona mengi.

Bro alikua bonge la mshua, ukirudi likizo ,akianza kukupa mipango ya badae lazinma upige saluti ,hapa tuna jembe la ukoo.

Jamaa full optmistic, kila mchongo unaomshirikisha ,mpe siku kazadhaa ngoma lazima itiki.

Kwenye majira kama haya ya sikukuu ,yaani home full shangwe, mamabo yakiwa hayaeleweki, utasikia mcheck bro mshua....!!!!

Sasa tangu alipooa, everything has fallen apart!!
Ukimpigia cm ,kuja kupokea ni mbinde
Ukimiss call, thubutu akikupigia.

Kifupi bro- mshua kachange ile mbaya....ila kimtindo kama mashambulizi kaelekeza ukweni,kule mashemeji wote wanamuona bonge la king- mswati.

Wadau ebu tulidadavue hili...mbona mashujaa wengi wakishaoa ndo basi tena?

Wapi tunakosea ili ujifunze yasitukute na sisi?

Wazee wa sampuli hizi ,ukisikiaga ndugu wanakwambia umechange uwa unachukuaga hatua gani?

Regards.

Merry christmass guys.
Vitu vingine vinasikitisha sana na vinaudhi, wakati mwingine huwa nasema bora tunakufa.
 
We jamaa hela za bro hazikuhusu..Tafuta zqko..bro this bro that
 
Katika vitu naviogopa ni kumfanya mume wangu aonekane tofauti hasa baada ya kunioa Mimi.
Kama ni kumshauri nitakuwa namshauri ila sitaki kuonekana mimi ni kikwazo kwa familia yake.
Ni ngumu sana kwakuwa mtu akishakuwa na familia anafocus zaidi kwenye familia yake kuliko ndugu ndio mana unakuta watu wanasema amebadilika saa nyingine si kuwa amebadilika bali ni kuongezeka kwa majukumu.
Napend kuwe na uwiano katika kuhudumia na kujali familia za pande zote na sio kuegemea upande mmoja.
Mungu anisaidie kwa hili nisijeghafilika.
 
Huwajui ndugu wewe, yani watever utakachofanya its a fact mume atapunguza misaada ya kwao kabla hajaoa, hiyo ni natural koz ameoa na majukum yameongezeka. So hata kama unasema utamshauri thats theoretical na ndio utaona ndugu kama mtoa mada wakianzisha nyuzi kama hizi.
 
Back
Top Bottom