Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

Jama kuishi kwingi kuona mengi.

Bro alikua bonge la mshua, ukirudi likizo ,akianza kukupa mipango ya badae lazinma upige saluti ,hapa tuna jembe la ukoo.

Jamaa full optmistic, kila mchongo unaomshirikisha ,mpe siku kazadhaa ngoma lazima itiki.

Kwenye majira kama haya ya sikukuu ,yaani home full shangwe, mamabo yakiwa hayaeleweki, utasikia mcheck bro mshua....!!!!

Sasa tangu alipooa, everything has fallen apart!!
Ukimpigia cm ,kuja kupokea ni mbinde
Ukimiss call, thubutu akikupigia.

Kifupi bro- mshua kachange ile mbaya....ila kimtindo kama mashambulizi kaelekeza ukweni,kule mashemeji wote wanamuona bonge la king- mswati.

Wadau ebu tulidadavue hili...mbona mashujaa wengi wakishaoa ndo basi tena?

Wapi tunakosea ili ujifunze yasitukute na sisi?

Wazee wa sampuli hizi ,ukisikiaga ndugu wanakwambia umechange uwa unachukuaga hatua gani?

Regards.

Merry christmass guys.
Dah...ile kitu si ya mchezomchezo[emoji87]
 
Cha kuazima.. Hakistri Matakho.
Mtegemea cha mtu.. Hufa masikini.
Cha mtu.. Mavi.

Mchawi ndugu, chunguza wa kwako.. We cha msingi pambana na hali yako maana hayo yapo na tumeyaona miaka nenda rudi.
 
Mim kaka yangu alikua akimuambia mama akipata kazi atamjengea nyumba,maana kasoma kwa shida,,
Alivyopata kazi tu cha kwanza kuwaza ni kuoa,na kanunua kiwanja ajenge kwake keshasahau kila kitu
Wanaume wachache sana wakioa hujali kwao
Sisi watoto wa kike wengi hujali nyumbani kwetu ,tunawazidi wanaume

Watoto wa kike ndio hao wanaona haribu waume zao ili wasahau kwao na wao wakisaidia kwao. Kwa ujumla wengi wa wanawake tunapenda sana kwetu. Ni vizuri sana kujali familia zote mbili hata kama unaona hawabebeki tenda wema uende zako kuliko kuharibu familia za watu.
 
Jama kuishi kwingi kuona mengi.

Bro alikua bonge la mshua, ukirudi likizo ,akianza kukupa mipango ya badae lazinma upige saluti ,hapa tuna jembe la ukoo.

Jamaa full optmistic, kila mchongo unaomshirikisha ,mpe siku kazadhaa ngoma lazima itiki.

Kwenye majira kama haya ya sikukuu ,yaani home full shangwe, mamabo yakiwa hayaeleweki, utasikia mcheck bro mshua....!!!!

Sasa tangu alipooa, everything has fallen apart!!
Ukimpigia cm ,kuja kupokea ni mbinde
Ukimiss call, thubutu akikupigia.

Kifupi bro- mshua kachange ile mbaya....ila kimtindo kama mashambulizi kaelekeza ukweni,kule mashemeji wote wanamuona bonge la king- mswati.

Wadau ebu tulidadavue hili...mbona mashujaa wengi wakishaoa ndo basi tena?

Wapi tunakosea ili ujifunze yasitukute na sisi?

Wazee wa sampuli hizi ,ukisikiaga ndugu wanakwambia umechange uwa unachukuaga hatua gani?

Regards.

Merry christmass guys.
Mwanamume atamwacha baba na mama yake ataambatana mkewe. Sasa kama baba na mama wanawekwa pembeni, sembuse wewe mdogo wake?
 
upuuzi mtupu…wala hujitambui, ngoja ukue huo utoto utakuacha! I salute your bro! Anajua anayomajukumu makubwa kwenye familia yake! Ni mpaka pale anapokamirisha majukumu mazito ya familia yake ndio kama kuna cha ziada anaweza toa kwa ndugu na jamaa…kama hakuna ndio hivyo tena! Wahenga walishasema…mtegemea cha nduguye hufa maskini…utakaa na lawama, na porojo badala ya kuangalia namna unavyoweza yapanga maisha yako ikiwa ni pamoja na kuweka jitihada ktk kujifunza…
Kwa hyo ndugu wa mkeo ndo familia yako alafu ndg zako ukipata cha ziada? Hv hao wa upande wa mkeo wangekujua bila ya wazazi wako? Kaka zako? Dada zako?

Hata kwny biblia imeandikwa mke ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe, haikusema mume ndio ataacha wazazi na kumfuata mkewe na familia yake. Hii mnayo sana wanaume mkishaoa kutelekeza wazazi na ndg zenu, tena ukipata mwanamke mwenye roho ya kunguni ndo kabisa hata salamu hakuna kwenu.

Mara nyingi wanawake wanaojielewa na kutambua umuhimu wa familia ndio wanawahimiza waume zao kusaidia wazazi au ndg zao. Wanaume wengine hata kwenda kwenu tu mnaona shida, ndg yako akija kwako unauliza anaondoka lini lol
 
Yes na mke anaona powa tu. Na kwanza ndio akiona ndugu wanamkaribia kaka .anatengeneza ugomvi. wakati niko chuo niliwahi kumwambia kaka anakoelekea sio (kipindi hiko mawasiliano hayakuwa hafifu sana.) Baada ya kumaliza chuo ndio akapotea kabisa.. yaaani kabisa, hataki hata kuonana na ndugu wa kwao
Mie mwenyewe nina mfano hai bro wangu, ameoa huyo dada ana roho mbaya, kasambaratisha watu wote waliokuwa wanapatana na bro kwny familia, yaani hakuna ndg anayekanyaga kwa bro, awe na sherehe atajijua yeye, awe na tatizo atajijua yeye. Ni yeye na ndg wa mkewe tu. Anafungulia biashara shemeji zake, anasomesha watoto wa shemeji zake basi. Na sisi tumemuacha tunaendelea na yetu, kifupi undugu uko mahututi
 
Anatengeneza familia yake
Wewe nawe tengeneza yako
Anataka na yeye awe na watoto wataokuwa na furaha na sio kuwafurahisha nyinyi
 
Mwanaume atamuacha Baba yake na Mama yake na kuongozana na mke wake
 
Mwanamume atamwacha baba na mama yake ataambatana mkewe. Sasa kama baba na mama wanawekwa pembeni, sembuse wewe mdogo wake?
Subiri ukue utajua ,uzuri kesho utakuwa baba /mama utawekwa kando vitu vingine ni bora kunyamaza !
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Subiri ukue utajua ,uzuri kesho utakuwa baba /mama utawekwa kando vitu vingine ni bora kunyamaza !
Nimeshakua na kuyashuhudia ndio maana hili halinishangazi. Ukiwa na mtoto atakayekujali shukuru, si jambo la kuwekea matumaini kuwa mtoto hatakuacha na kwenda kuanza maisha yake.
 
wanawake wote niliowahi toka nao nimejifunza ni wabinafsi.. so kunahitaji kufata maandiko ya biblia ya tuishi nao kwa akili
 
Kwa hyo ndugu wa mkeo ndo familia yako alafu ndg zako ukipata cha ziada? Hv hao wa upande wa mkeo wangekujua bila ya wazazi wako? Kaka zako? Dada zako?

Hata kwny biblia imeandikwa mke ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe, haikusema mume ndio ataacha wazazi na kumfuata mkewe na familia yake. Hii mnayo sana wanaume mkishaoa kutelekeza wazazi na ndg zenu, tena ukipata mwanamke mwenye roho ya kunguni ndo kabisa hata salamu hakuna kwenu.

Mara nyingi wanawake wanaojielewa na kutambua umuhimu wa familia ndio wanawahimiza waume zao kusaidia wazazi au ndg zao. Wanaume wengine hata kwenda kwenu tu mnaona shida, ndg yako akija kwako unauliza anaondoka lini lol
Kasome vizuri maandiko usitudanganye hapa...eti mwanamke atamwacha...............
Oneni aibu basi ht kuongea uongo..tena kwa kitabu kitakatifu
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mim kaka yangu alikua akimuambia mama akipata kazi atamjengea nyumba,maana kasoma kwa shida,,
Alivyopata kazi tu cha kwanza kuwaza ni kuoa,na kanunua kiwanja ajenge kwake keshasahau kila kitu
Wanaume wachache sana wakioa hujali kwao
Sisi watoto wa kike wengi hujali nyumbani kwetu ,tunawazidi wanaume
Sasa hapo tatizo liko wapi? Si anajenga mji wake kwanza Kisha Mama yake au unataka yeye alale nje
 
Mi nashangaa...akioa mtu unamfatafata nini?Yanini unamfatilia maisha yake?Kwanini watu mnapenda attention namna hii?

Alipokua hana mtu,akatokea mtu kuziba void,lazima change of habit iwepo,wewe na ukoo mzima mnatakiwa mkae kando mfate yenu...

Jembe la ukoo so what?Hakuna kitu kinaitwa ukoo....ni abstract human social construct kutawala wengine waliomo kwenye huo ukoo.Ukoo ni one of the most stupidest idea ever...Ukoo ni za kufuta 100%...zinaprovide mwanya wa wengine kutawala wengine unfairly...all bad nightmares,bad treatments,subjugation,ubakaji,uuaji,uzulumati,etc unatokea kwenye koo hizi..thats the truth,take it to the bank....

F**k clans.

Hii tabia ya kufatafata maisha ya watu ndio yanaleta posts za hii.Ni pure kutokuelewa na kutokutimiza wajibu wa maisha binafsi mmoja mmoja....kwenye ukoo kila mtu afate chake,ajitegemee...hakuna cha vikao vya misaada or anything...everyone should die alone..
I agree with you hii kitu inaitwa ukoo ni upuuzi,very segregative kuna ubinafsi wa kiwango cha lami...ngoja niishie hapo mkuu
 
Katika vitu naviogopa ni kumfanya mume wangu aonekane tofauti hasa baada ya kunioa Mimi.
Kama ni kumshauri nitakuwa namshauri ila sitaki kuonekana mimi ni kikwazo kwa familia yake.
Ni ngumu sana kwakuwa mtu akishakuwa na familia anafocus zaidi kwenye familia yake kuliko ndugu ndio mana unakuta watu wanasema amebadilika saa nyingine si kuwa amebadilika bali ni kuongezeka kwa majukumu.
Napend kuwe na uwiano katika kuhudumia na kujali familia za pande zote na sio kuegemea upande mmoja.
Mungu anisaidie kwa hili nisijeghafilika.
Hakuna uwiano familia yenu mtayoianzisha comes first. Ni ujinga kuwaza atoe sawa kwenye familia yenu na kwa ndugu zake, hao ndugu nao wajitafutie. Haya mawazo ya kulea watu wazima sijui mnayatoa wapi. Smdh
 
Mleta mada na ndugu zako Man up mjitegemee. Kaka yenu hata Kama sio familia yake hapaswi kuendelea kuwalisha nyie watu wazima na ndevu zenu, na wewe mwanaume bila hata aibu unakuja kulialia basically unalalamika umeachwa kulishwa bure wakati unaweza jitafutia. Miafrika sijui mnakaliaga akili, mnapendwa kulelewa si wanaume si wanawake. Smh
 
Back
Top Bottom