Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

Jama kuishi kwingi kuona mengi.

Bro alikua bonge la mshua, ukirudi likizo ,akianza kukupa mipango ya badae lazinma upige saluti ,hapa tuna jembe la ukoo.

Jamaa full optmistic, kila mchongo unaomshirikisha ,mpe siku kazadhaa ngoma lazima itiki.

Kwenye majira kama haya ya sikukuu ,yaani home full shangwe, mamabo yakiwa hayaeleweki, utasikia mcheck bro mshua....!!!!

Sasa tangu alipooa, everything has fallen apart!!
Ukimpigia cm ,kuja kupokea ni mbinde
Ukimiss call, thubutu akikupigia.

Kifupi bro- mshua kachange ile mbaya....ila kimtindo kama mashambulizi kaelekeza ukweni,kule mashemeji wote wanamuona bonge la king- mswati.

Wadau ebu tulidadavue hili...mbona mashujaa wengi wakishaoa ndo basi tena?

Wapi tunakosea ili ujifunze yasitukute na sisi?

Wazee wa sampuli hizi ,ukisikiaga ndugu wanakwambia umechange uwa unachukuaga hatua gani?

Regards.

Merry christmass guys.
upuuzi mtupu…wala hujitambui, ngoja ukue huo utoto utakuacha! I salute your bro! Anajua anayomajukumu makubwa kwenye familia yake! Ni mpaka pale anapokamirisha majukumu mazito ya familia yake ndio kama kuna cha ziada anaweza toa kwa ndugu na jamaa…kama hakuna ndio hivyo tena! Wahenga walishasema…mtegemea cha nduguye hufa maskini…utakaa na lawama, na porojo badala ya kuangalia namna unavyoweza yapanga maisha yako ikiwa ni pamoja na kuweka jitihada ktk kujifunza…
 
Sina shida naye my bro-mshua

Mimi nadadisi tu ,ukioa nn kinatokea kwenye tabia ya mtu?
 
Na we oa utajua why bro amechange? Kama ni mahaba au ni nn utajua uko?
 
Ni majukumu ndio yanayoongezeka, hukuna jingine, tabia yake ya kutokwepa majukumu ipo pale pale, ila uwezo wa kumudu hayo yote mpaka ya ndugu zake japokuwa anawapenda sana hana! Mpeni muda!
 
upuuzi mtupu…wala hujitambui, ngoja ukue huo utoto utakuacha! I salute your bro! Anajua anayomajukumu makubwa kwenye familia yake! Ni mpaka pale anapokamirisha majukumu mazito ya familia yake ndio kama kuna cha ziada anaweza toa kwa ndugu na jamaa…kama hakuna ndio hivyo tena! Wahenga walishasema…mtegemea cha nduguye hufa maskini…utakaa na lawama, na porojo badala ya kuangalia namna unavyoweza yapanga maisha yako ikiwa ni pamoja na kuweka jitihada ktk kujifunza…
Jamaa anasema kaka yake mashambulizi kahamishia ukweni. Je kuegemea ukweni na kusahau kwenu ndio kujenga familia yake huko?.

Namshauri mtoa mada kua kama bro wake anawasaidia kwenye mambo makubwa, huyo bado ni mtu muhimu kwenu msimvuruge. Kama amewasahau mazima, nyie mtengeni na mkae kimya.
 
Huwa nachukia sana watu kufuatilia maisha ya mtu ambaye tayari anawajibika na familia yake!
Tumeendekeza sana extended family mpaka tunaona mtu kuhudumia kila kitu kwao ni wajibu wake bila hata kujali kuwa huyo mtu kuna majukumu aliyonayo kwenye familia yake!
 
Jamaa anasema kaka yake mashambulizi kahamishia ukweni. Je kuegemea ukweni na kusahau kwenu ndio kujenga familia yake huko?.

Namshauri mtoa mada kua kama bro wake anawasaidia kwenye mambo makubwa, huyo bado ni mtu muhimu kwenu msimvuruge. Kama amewasahau mazima, nyie mtengeni na mkae kimya.
Wakimtenga wamesaidia nini…wampe muda, mtengeni nanyie ndio mtakuwa wapuuzi zaidi…nyie mnayemfahamu kwa undani mnatakiwa mumuelewe zaidi! Mashambulizi kuelekeza ukweni…kwanza hayo mmeyajuaje kama sio umbea na upelezi juu ya maisha ya ndugu yenu! Kwani hamna kazi ya kufanya! Hata hivyo…kwa maelezo yako umesema ameshatoa misaada lukuki home hapo nyuma…haitoshi kujua sasa mumpe nafasi afanye yake!?
 
Kwa hili swala wanawake wanachangia kwa 80%, kama kapata mwanamke nae ndo anavutia kwao tu ukweni haangalii basi hapo ndugu mumsahau kabisa. Ila nawachukia sana wanawake wa hivyo.
Usiombe kaka yako akawa na mke wa hivyo,mbona mtaisoma tena zaidi ya tunavyoisoma sasa hv.
Na wengi wa hivyo wanakuwaga wachoyo balaa.
 
Mimi kaka yangu tangua aoe for three years hajawi kumjulia mama hali ,hawajawi hata kunipigia simu.

Sometimes na wonder kama yuko hai coz si kutekwa huko jmn
Hlf na mke anaona fresh tu?
Mm sijaolewa lkn huyu nilienae namsisitiza basi angalau once per week kuwajulia hali nyumbani si mbaya hasa jpili. Mwanzo ilikuwa shida ila sasa hv nashukru amezoea.
 
Pole sana mkuu. Nadhani hii sikukuu ndio shida, itapita tu.
 
Kama unajua Familia yakoo hasa wadogo zako Bado wanahitaji msaada mkubwa toka kwakooo hasa Gharama za mambo ya Kielimu na pia mahitaji ya kifamilia Kamwe Usikimbilie KUOAAAA... Yani mimi nina mfano hai kabisa..jamaa aliwahi kuoa baada ya kupata kazi... Leo hii mama yake mzazi alikuwa anaokota makopo akapime ilii wadogo zake waende shule.. Kuoa si mchezo unasahau familia yako kama huijui hata mama ako akipatwa na shida unaweza potezeaa...!!

KUOAA SIO MAANDAZI...USIWEE NA HARAKAA.
 
Mi nashangaa...akioa mtu unamfatafata nini?Yanini unamfatilia maisha yake?Kwanini watu mnapenda attention namna hii?

Alipokua hana mtu,akatokea mtu kuziba void,lazima change of habit iwepo,wewe na ukoo mzima mnatakiwa mkae kando mfate yenu...

Jembe la ukoo so what?Hakuna kitu kinaitwa ukoo....ni abstract human social construct kutawala wengine waliomo kwenye huo ukoo.Ukoo ni one of the most stupidest idea ever...Ukoo ni za kufuta 100%...zinaprovide mwanya wa wengine kutawala wengine unfairly...all bad nightmares,bad treatments,subjugation,ubakaji,uuaji,uzulumati,etc unatokea kwenye koo hizi..thats the truth,take it to the bank....

F**k clans.

Hii tabia ya kufatafata maisha ya watu ndio yanaleta posts za hii.Ni pure kutokuelewa na kutokutimiza wajibu wa maisha binafsi mmoja mmoja....kwenye ukoo kila mtu afate chake,ajitegemee...hakuna cha vikao vya misaada or anything...everyone should die alone..
 
Back
Top Bottom