Ukitaka kujua ngozi nyeusi ni laana, mfuatilie refarii anayechezesha Taifa stars na Moroco

Amrabat amecheza rafu za kutosha ambazo hapewi njano ,rafu ambazo stars wakizicheza dizaini refa hajiulizi.

Mtoa mada yuko sahihi kwenye hilo ila kwenye offside ile sio offside
 
Kidogo nivunje tv yangu ili nimtandike mangumi refa anayechezesha

Anatoa kadi zusizostahili, anaacha makosa ya warabu kwa kuogopa rangi yao

Anaruhusu goli la kuotea kwa kuogopa rangi

Ngozi nyeusi ni laana kuu duniani

Tungekuwa tunachezeshwa na refa ngozi nyeupe, isingekuwa hivi kama tunavyonyanyaswa na huyu refa mweusi
Hata wewe mleta mada ngozi nyeusi ni laana kwa kuabudu ngozi nyeupe.. Kwanini useme angekuwa ngozi nyeupe..
Mpira tumeona wengi goli hakuna offside na VAR walichora mstari mwekundu na mfungaji aliwatoka hakukuwa na kuotea kabla.
Mwenye laana ni wewe.
 
Amechezesha hovyo ila hakuna offside pale, jifunze aheria ya offside kwanza
 
Mwalimu wa stars nae mzembe..wewe una wachezaji wawili wenye kadi za njano tayari..halaf huwafanyii sub wkt inajulikana himid na novatus ni viungo wenye rafu

Japo kwa upande mwingne mwl huyu namkubali kwny misimamo yake.
 
Hii sio Mapinduzi cup. Mambo ya kulalamika ni ya kizamani. Tanzania mpira wetu huwezi kuulinganisha na Morocco tuweke mipango yetu Vizuri kuhusu sekta hii tutafika Tu. Tukamwombe pia Mzee Mwinyi afute Kauli yake 😁😁😁
 
Kocha nae wachezaji wake kaona wanacheza rafu za hovyo na wana kadi za njano kaacha kuwatoa akitegemea nini?Mao nae pana muda alionywa ila alitakiwa apewe njano ya pili na nyekundu...
Toka mwanzo ilitakiwa Mao na huyo dogo wa kadi nyekundu wangetolewa Samata angebaki...Mwaikenda,Job na Salum wangeanza pamoja na Msuva mbele sio Mudadhir huwa ana makosa sana ila anafichiwa na wakina Aucho na Ki...anaachwa Sure Boy ndio wenye hizo mechi ngumu sio huyo dogo..
 
Kwa ule uchezaji ulikua unategemea ubebwe?. Maturity level bado iko chini sana huwezi kucheza rough kama zile ukategemea ubaki salama
 
Kidogo nivunje tv yangu ili nimtandike mangumi refa anayechezesha

Anatoa kadi zusizostahili, anaacha makosa ya warabu kwa kuogopa rangi yao

Anaruhusu goli la kuotea kwa kuogopa rangi

Ngozi nyeusi ni laana kuu duniani

Tungekuwa tunachezeshwa na refa ngozi nyeupe, isingekuwa hivi kama tunavyonyanyaswa na huyu refa mweusi
Ukitaka kujua kuwa ngozi nyeusi ni laana, ni pale hadi leo kuna wanaotamani kuvunja Tv ili wakachukue wale aliowaona kwenye Tv.
 
Ingawa sikutegemea Tanzania ishinde ila Kocha wetu alikosea kupanga kikosi hadi mfumo.Mwanyeto,Aishi, hawakutakiwa kuanza quality zao miezi ya karibuni iko chini.Kocha anatest mfumo mpya 5,3,2 kwenye mochi kubwa halafu mpango wa kushambulia kwa kushtukiza ulimtaka kibu Denis na feisal salum.Ni wakati wa nchi kuzalisha makocha wazalendo hata 100 kabla ya 2027.Kwa mochi ya jana hata Juma Mgunda angepanga kikosi bora na mechi ikawa ya ushindani zaidi.Tusingefungwa goli hizo labda 1-0 au 2-1.Kocha awaachie wachezaji wapange time.
 
Back
Top Bottom