EARPHONE
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 355
- 66
wakuu kuna something new kwenye web ya tcu..wameandika kitu kuhusu 2nd selection
Nimeiona nimeisoma lkn cjaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu kuna something new kwenye web ya tcu..wameandika kitu kuhusu 2nd selection
kaka unajiamin!!! ila hii ndo ilikua ahad yako...mimi kama kawa leo niko mkao wa kula.....tungoje masela!!!!kaka ki2 ni leo no ubish hapo
naona kama tunaanza selection upya wakubwa..
naona kama tunaanza selection upya wakubwa..
Hilo tangazo ni kwa wale wa equivalent qualifications yaani NTA level 6 na Foreign students, haiwahusu wa direct entrance yaani Form 6
nimeliona ila mpaka mda huu naona giza tuuuu!! au ndo second selections inanukia kwa wale walio miss informations!!!wakubwa kunawatu walioelewa hilo tangazo la tcu kuhusu second selection..
kaka unajiamin!!! ila hii ndo ilikua ahad yako...mimi kama kawa leo niko mkao wa kula.....tungoje masela!!!!
mkuu umeona hapo kwenye blue????? wenda selections zikatoka baada ya mda huo.......
Hilo tangazo ni kwa wale wa equivalent qualifications yaani NTA level 6 na Foreign students, haiwahusu wa direct entrance yaani Form 6