Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by fahad1208, Aug 12, 2012.

 1. f

  fahad1208 Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka ufanya application upya
   
 2. Thomas D Segeja

  Thomas D Segeja Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 25
  tunasubiri kwa hamu
   
 3. c

  crocodile1 New Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hellow
   
 4. P

  PETER FLORIAN New Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  heeee kweli jamaniii au?
   
 5. n

  nsunko Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hiyo ni habari rasmi mkuu?
   
 6. J

  JPM605 Senior Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ...nitoe pongezi zangu za dhati kwa jamaa aliyetupatia taarifa hizi muhimu. Ni jambo la maana na la heshima kwamba jamaa has managed to grant us trust worthy information to most of us.

  Kabla sijaendelea natangaza maslahi na hayo matokeo kwani ni moja ya expectant 1st year udsm. Kwa hiyo niko pembeni na mgogoro wa kimaslahi. Nionavyo mimi tcu wanadeserve hili lilowakuta. They had a full month to process the applications through comp system which is trusted and worthy of use all over the world cause it's speedy and accurate. Sasa kama katika mazingira hayo wameshindwa kuweka kila kitu sawa..,hii ni adhabu tosha na siku nyingine wajifunze.

  Waungwana mtakumbuka vyema programs zilikuwa zinaandikwa not elligible na elligible ilionesha kama vile mambo yanaharikishwa sana na wengi tulitegeme majibu mapema kumbe zote zilikuwa mbwembwe tu.

  Hao IT officers wanaonekana kupwaya kiutendaji eti baada ya dsm kuvuja wakafunga servers ili watu wasione not yet processed hali tokeo liko nje. Waache uzembe wawe mahiri na wenye kasi. Next year lisitokee. Wale wadau wa vyuo vingine vuteni subira hadi kila kitu kitengamae. Wa dsm tujiandae vyema kiakilli. Tena nisihi tuzitangulize mind zetu chuoni ili tukifika kazi iwe moja kitabu tu kwa maendeleo yetu binafsi na umma kwa ujumla.

  Naomba kutoa hoja.
   
 7. K

  KALLAGO Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu TCU inafunga but kile kipengele cha view my selection status hakipo inakuwaje hapo
   
 8. EARPHONE

  EARPHONE JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Duh!Nilidhani niko peke yangu....
   
 9. n

  nsunko Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Aisee hata kwangu view my selection imetoweka kama sa1 lilipita,nahisi mambo yanakaribia
   
 10. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ha ha... Niambie kallago, ww niyule wa usagara eenh? Mtt wa seminary?
   
 11. e

  elank54 JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  leo cdhani kama itapita bila chochote frm tcu, inakua kama wanajaza posts hivi.
   
 12. Matata Mushkeli

  Matata Mushkeli Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imetolewa ili 2cone 'not yet processed'na kat 4 udsm its ready.
   
 13. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mambo yameiva kaeni mkao wa kula
   
 14. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  kaka as a told u before kitu ni leo
   
 15. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hapi nimweka page ya TCU nimwendo wa kurefresh tu mpaka kieleweke.
   
 16. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  kama kawaida jomba lets wait 4 it
   
 17. EARPHONE

  EARPHONE JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Na heslb nao watatoa ya kwao au n vp
   
 18. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nijuavyo hua vinatoka pamoja yaani kozi uliyo chaguliwa na mkopo kwenye list moja,
   
 19. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  ndo mpango mzima !!
   
 20. k

  kafuruki New Member

  #20
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yan these pple wanacheza na life za wa2.huku cntofahau itaisha ln.hope 2day wafanye kwel bhana.(TCU)
   
Loading...