Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

Kweli mkopo ndo mpango mzima,chuo bila mkopo kwa wenzangu na mimi ni sawa na bure.
 
Kaka tatzo wakubwa wanawekana wa2 hambao hawana utaalam ucka ndo mana 2naishia kuumzwa manyanga ya wa2 wasio na utaalam
 
:yawn: nilikuwa nimeshaanza kuchoka kuyasubiria. natumaini hili ni la ukweli
 
Yatakuwa yametoa mustakabali wa elimu ya sisi formsixlivaz coz hom panachosha mnoo sensa yenyewe majinayetu yamewekwa kwenyee..................in
 
Back
Top Bottom