Ukitaka kufanya service ya gari lako kumbuka yafuatayo!

Tatizo siyo no. Ya airbag inategemea impact, unaweza ukagongwa mbele/ nyuma kama impact siyo kubwa hizo airbag zako 8 zote zikagoma kufumuka

lakini kweli......au nikaangukiwa na container kabisa......uhh God forbid
 
...msaada tafadhali, naitafutia gereji mpya 'pijo' 403 yangu!

0786.jpg
 
Big up MDADA, maana yake UWE NA MWENZA MMOJA ANAYEFANYA SERVICE YENYE KUELEWEKA. haya mambo ya kukimbia kimbia eti unatafuta watu wanaojua kufanya service mmechemsha.

Big us sister,VIPOFU MUONE NA VIZIIWE MSIKIE. NYAMA NI ILE ILE.
 
<p>
<font face="Book Antiqua"><font size="3"><font color="darkred">...msaada tafadhali, naitafutia gereji mpya <i>'pijo'</i> 403 yangu!</font></font></font></p>
<p>&nbsp;</p>
<p><img src="http://4.bp.blogspot.com/_z2eWJb9n488/TQKREhWG68I/AAAAAAAAC8o/qu7_LRK2i2Y/s1600/0786.jpg" border="0" alt="" />
</p>
<p>&nbsp;</p>

gari kama hizo pijo 403, Anglia, ford cortina hazihitaji ufundi sana ijapokuwa ni gari za zamani na ni chache sana barabarani, fundi yoyote mtaani anaweza kukufanyia kuanzia routine service,engine overhaul na hata body painting ukitaka
 
...kwanza nashukuru kwa kutambua hilo ni chache zimebakia mitaani.
Inajidhihirisha uimara wake compared na age. Ila hiyo busara ya kuambiana
fundi yeyote anaweza ,...hapana bana. Gari yangu sio ya majaribio kila ajidhaniaye fundi ajijaribishie!
 
...kwanza nashukuru kwa kutambua hilo ni chache zimebakia miitaani.
Inajidhihirisha uimara wake compared na age. Ila hiyo busara ya kuambiana
fundi yeyote anaweza ,...hapana bana. Gari yangu sio ya majaribio kila ajidhaniaye fundi ajijaribishie!
Inabidi utafute fundi mzuri anaeijulia....wengine wote watakuchakazia tu!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
msilaumu garage tu na magari yenyewe siku hizi shaghala baghala, utakuta gari utazani jipya kumbe ukipiga start tu linamwaga moshi kama nuclear weapon. Unaweza ukalaumu fundi kumbe gari lenyewe liko beyond repair. khaaa!

mkuu, nuclear haitoi moshi, ndo maana submarine ambayo ni nuclear powered inatembea chini ya bahari muda wote tofauti na ya dizeli ambapo ikizama inazima engine na kutumia betri, chaji ikiisha inapanda tena juu na kuwasha engine kuchaji betri.
 
Gereji moja fundi mmoja full stop
sio kila fundi apitishepitishe mikono kwenye gari lako no
mafundi wengine wanabahatisha lakini ukimpata mmoja anaelielewa gari lako vizuri kila kitu kitakuwa shwari.
 
....Angalizo ni vyema kuwa na garage moja unayoiamini yenye ujuzi wenye viwango vya TBS ,hata kama spare zake zitaagizwa moja kwa moja toka japan wakati ukisubiri service....

Tatizo 'ukiwaamini' sana ndio 'wanakuchakachua' vizuri huku unakenua meno kwamba 'gari yako' inahudumiwa vizuri:biggrin1:!
 
Big up MDADA, maana yake UWE NA MWENZA MMOJA ANAYEFANYA SERVICE YENYE KUELEWEKA. haya mambo ya kukimbia kimbia eti unatafuta watu wanaojua kufanya service mmechemsha.

Big us sister,VIPOFU MUONE NA VIZIIWE MSIKIE. NYAMA NI ILE ILE.

Afadhari weye moja kwa moja umeelewa ..maana The Boss jamani sijui sasa kapata maana
 
Back
Top Bottom