Ukitaka kufanikiwa kibiashara nunua kwanza nguo nzuri ,ukiwa na nguo nzuri na muonekano mzuri bei ya vitu unavyouza haitakuwa tatizo maana utakuwa unaenda na hadhi yake, we fikiria unavaa manguo ya hovyo hovyo hupendezi halafu unauza vitu vya gharama utampata nani?
Hata mademu wanapenda kununua vitu kwa mtu msafi na nadhifu
Huyu shemeji yenu niliyemtia mimba amepata mimba kwa sababu napendeza.
Hata mademu wanapenda kununua vitu kwa mtu msafi na nadhifu
Huyu shemeji yenu niliyemtia mimba amepata mimba kwa sababu napendeza.