Ukitaka kufanikiwa 2017 katika maisha achana na tabia hizi

Kujiamini katika kazi halali za mikono yako...kumtanguliza Mungu katika kila jambo.
 
kama wewe ni kijana na ungependa kuona mwaka huu ukipata mafanikio katika maisha basi achana na hizi tabia .

1.tabia ya kufatilia maisha ya watu na familia zao.

2.tabia ya kujilinganisha uwezo wako kimaisha na wengine .

3.tabia ya kutaka kuonekana kwa watu unajua kila kitu.

4.kumpenda mtu asiyekupenda

5.usipende kuwa na urafiki na watu walioshidwa maisha.

6.usipende kuwa na tabia za kukopesha watu pesa

7.usipende kuwa na moyo wa kusaidia watu ili uonekane mtu mwema mtu akikuomba kama huna mwambie sina.

8.achana na tabia ya kufanya mambo kwa ndugu au marafiki upate sifa uonekana uwe una pesa.

9.achana na tabia ya kuhonga ovyo

10.tabia za ubishi usiokuwa na maana achana naoo.

haya jamani kama una mengine hebu ongezea iwe kama somo
Usipende kuruka ukuta
 
epuka kupigwa mizinga na wanawake , huu ni mwaka wa kusave nchi hii inelekea kwenye shida ya chakula na hamna kazi za kueleweka hivo ukipata ngawira itunze itakukwamua huko mbele
 
11. Huu ndio mwaka muafaka wa kula tigo.

12. Huu mwaka muafaka wa kula ngada....


Its a jokes wakuu...
 
Back
Top Bottom