Ukitaka kufanikiwa 2017 katika maisha achana na tabia hizi

4,5,6,9 Napambana Nazo Nilianza Na Kuishi Nyimbo Ya Dume Suruali Nimejikuta Miezi Miwili Nshasahau Watoto Wa Kike Sijui Tu Kukopesha Pesa Milioni Ipo Nje Sirudishiwi Ipo Siku Ntafungwa Kwa Kumpiga Mtu Ila Napambana Tu Na Changamoto.
 
very true 6,7 na 8 zimeniathiri sana hasa mawaka jana, pia kuna binamu yangu nilimkopesha laki 3 na nusu tangu mwaka 2014 mpaka leo naona hana mpango wa kurudisha, inagawa kiukweli hali yake kiuchumi si nzuri ni mwanachuo diploma hana stable financial supporters ila inaniuma sana hela yangu hasa kwa usawa huu sasa hivi wa uncle magu kila nikifulia naikumbuka.
Kama yupo humu Ujumbe imemfikia
 
Back
Top Bottom