Kuna Askofu ame shauri kwamba Kiongozi akistaafu, basi astaafu kikweli kweli, sio mguu moja Ndani , mwingine nje, Kwani huko ninkulitakia Taifa shida au migogoro.
😁😁😁😁 Umenikumbusha codes za britaniccabila shaka hapa alimaanisha MKJ aache kumyumbisha deaf frog.
ila kina mzee Kutibu na Walibora wendelee kupiga spana hadi mambo yanyooke
Ila jiwe alikua wa moto aiseeJPM alisema(ga) kuna mstaafu anawashwa washwa