Hivi huyu anakupenda kwel?

Listen brother, inawezekana huyo mwanamke hajakufahamu vizuri. Possibly anatafuta uwezekano wa kupima indurance yako hasa katika uvumilivu. Zaidi ya yote, kuna uwezekano wa yeye kupima kama kweli unampenda au la. So, jaribu kujiweka wazi kwake na pia umwonyeshe kuwa huna mwingine zaidi yake!
 
Mie nadhani huyo binti anaepuka mazingira hatarishi ya kukaa wawili ambayo yanaweza sababishwa vishawishi vya kufanya tendo la ndoa, nakuomba uwe mvumilivu tu mfuatilie taratibu kama ni wako atakuwa karibu nawe kadri muda unavyoenda, Huwezi jua pengine huyo aliumbwa kwa ajili yako. Pia ni vizuri ukawa muwazi umweleze malengo yako kwake. kama ni kuoa au la

Haf nawe kaka mbona unakuwa na haraka mno yaani valentine imepita siku kadhaa! tulia na tafakari.

cjakataa na unachokisema ila labda 2anze na suala la valentine nilipkwa chn valentine ya mwaka jana na co yamwaka huu alafu kuhusu kumpa muda m2 waku kama mungu ndo ana kupangia hv inaweza ikawa ngumu mana cjaona m2 anajuzungusha kias hch alafu dah okay nitajalibu kufanya hvyo
 
Listen brother, inawezekana huyo mwanamke hajakufahamu vizuri. Possibly anatafuta uwezekano wa kupima indurance yako hasa katika uvumilivu. Zaidi ya yote, kuna uwezekano wa yeye kupima kama kweli unampenda au la. So, jaribu kujiweka wazi kwake na pia umwonyeshe kuwa huna mwingine zaidi yake!

dah! Kaka cjui nisemeje but anyway sawa nitajarbu kufanya hvyo ila kwanini awenananikwepa lakn hv kwanini hapo ndo nashndwa kumuelewa kama kuwa muwaz kwake nimeshakuwa lakn ndo ufikie ha2ua ya kumkwepa m2
 
he matumizi hutoi halafu unataka kumfanyaniniiiii cha bure hicho:wink2:

yan hata bora lingekuwa hlo la kuto toa pesa ya ma2miz inekuwa kidogo poa lakn vocha na pesa yangu anachukuwa lakn wap hatak kuliwa mzgo na hatak 2onane
 
Kakangu inawezekana huyo dada anakupenda ila anakuona kama vile unataka kumchezea2 nayeye hayuko tayari kwa hilo so lazima akuzungushe2 mpaka ajue ukweli mimi binafsi namzungusha mwanaume kama kapenda kweli namjua na kama anatamani2 kuchakachua namjua wanaume siku hizi ni waongo mno
 
Ushauri wangu, hebu na wewe mpotezee kama wiki 2 hivi hadi akufate home au mlikozoea kukutana. Asipopiga simu wala kutokea, futa namba yake anza new search.
 
Hiyo ndio inaitwa bolingo ya telephone..... mkuu mbona kuna mizigo mingi sana ya kujitwisha, kama hataki hata mkutane kuongea tu unafikiri mtafika mbali huyo... achana nae :A S 13:
 
acha kupoteza mdanaye, huyo yawezekana akawa na mtu mwingine na hataki kuwa muwazi
inawezekana hata huyo aliyenaye hamwamini sana hivyo mguu ndani mguu nje ndio maana anakutumia na wewe pia ili akikosa huko basi anaangukia kwako
au bado ni katoto kana woga, hivyo kavumilie tu
 
hv unaweza ukamzungusha mwanaume kwa muda gan? Labda ukinipa jibu hapo ndo na mm ninaweza kuelewa kuwa ni kwel au miyayusho mana km ndo mnatabia za kumzungusha mwanaume unaweza ukaja jikuta muda umekwenda na umr umekwenda pia alafu ukisha zoea hvyo ndo maisha yako yote yataishia hvyo. Hebu nijibu kwanza unamzungusha mwanaume kwa muda gan kwanza na pia huwa unamkwepa kuonana nae kwa muda gan?
 
Ushauri wangu, hebu na wewe mpotezee kama wiki 2 hivi hadi akufate home au mlikozoea kukutana. Asipopiga simu wala kutokea, futa namba yake anza new search.

nitafanya hvyo ila ninajua cmu atapiga mana ndo mapenz ya kwny cmu anayaweza kwel kias kwamba ya dah? Cjui nisemeje na kuplan wap 2kutane 2ongee anaweza ila sasa ikifika muda wenyewe au sehemu yenyewe kunamawil either anaharaka au acje kabisa akakwambia kabanwa wakat aliplan yeye mwenyewe hapo ndo ninashndwa kumuelewa
 
Hiyo ndio inaitwa bolingo ya telephone..... mkuu mbona kuna mizigo mingi sana ya kujitwisha, kama hataki hata mkutane kuongea tu unafikiri mtafika mbali huyo... achana nae :A S 13:

umeona eehe hapo chacha mana kilasiku hakosisababu utazan msafara wa siafu bana
 
acha kupoteza mdanaye, huyo yawezekana akawa na mtu mwingine na hataki kuwa muwazi
inawezekana hata huyo aliyenaye hamwamini sana hivyo mguu ndani mguu nje ndio maana anakutumia na wewe pia ili akikosa huko basi anaangukia kwako
au bado ni katoto kana woga, hivyo kavumilie tu

mzaz cbora kangekuwa katoto 2jue moja yan huyu ni m2 mzma inawezekana kama ulivyosema kuwa 2po wawil labda hlo ninaweza likawa na ukwel mana yeye cjui nitajarbu kuchek mana hawa mabint wa kisasa hawa dah?
 
Back
Top Bottom