Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,417
- 829,763
Na Malisa GJ
. Kikosi maalumu cha jeshi la Marekani (Delta Force), kimetumia dakika 124 tu (masaa mawili na dakika 4) kutua Ikulu ya Venezuela (Palacio de Miraflores) na kumnyakua Rais Nicolás Maduro pamoja na mke wake Cilia Flores Maduro.
Kumbuka Rais wa Venezuela analindwa na kikosi maalum kiitwacho "Guardia de Honor Presidencial" chenye mamia ya wanajeshi na makomandoo waliobobea katika ulinzi wa viongozi. Kikosi hiki hutumia mchanganyiko wa silaha ndogo na nzito kama AK103, PKM, Mashine Gun, FN MAG etc.
Pia hutumia drones maalumu kama Mohajer-2/4 zilizotengenezwa Iran ambazo zina kamera za infrared na vifaa vya usiku (night vision) na zina uwezo wa kuruka muda mrefu kufanya upelelezi (surveillance) na kutuma taarifa moja kwa moja Ikulu.
Pia hutumia drones kutoka China (ASN-206/Wing Loong), ambazo hutumika kukwepa au kuzuia mashambulizi ya makombora yanayolengwa kwa Rais.
Kikosi kina magari maalumu yasiyopitisha risasi, aina ya Chevrolet Suburban armored SUV kutoka Urusi (yapo 200) na VN-4 armored personnel carriers kutoka China (yapo 100). Kina Helikopta za kijeshi Mi-17 na Super Puma AS332 kwa ajili ya kumtorosha Rais kukiwa na dharura. Helcopter hizo hazipitishi risasi na zina kinga dhidi ya makombora.
Pia kikosi hicho kina Ndege 5 za kivita kutoka Urusi aina ya Sukhoi Su-30MK2 na ndege za 7 za doria kutoka Pakistan aina ya K-8 Karakorum jets, zenye uwezo wa kukimbia hadi 1,000 KPH (480 knots). Ndege hizo pia zina uwezo wa kufanya manuva ya aerobatic kama kupinduka juu chini (inverted flight), kuruka kwa duara, spins, rolls, na kupiga mbizi (dives).
Hii ilimfanya Maduro kuwa Rais mwenye ulinzi mkali na wa kisasa kuliko Marais wote America kusini na Caribbean. Lakini pamoja na yote hayo, Marekani aliposema "tunakuhitaji kituoni uje uandike maelezo" wametumia dakika 124 tu kumnyakua 😂. Halafu kuna watu wanafananisha Marekani na vitu vya kijinga.
Jiulize kama Maduro mwenye nguvu zote hizo, lakini Marekani imetumia masaa mawili tu kumnyakua, itashindwa kuingia Malawi hadi itume vijana wapite mpakani na mabomu ya machozi? Ndio maana kuna story ukisikia mtu mzima anaongea unaona anajidhalilisha tu. Bata, Wahed.!
View: https://www.facebook.com/share/v/17we8GoEqF/