leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 1,419
- 6,534
Hizo dakika ni nyingi mnooo.... Huku watatumia dakika 10 na sekunde tanoBado samia ajiandae tena yeye dakika 30 tu zitatosha kumaliza mchezo!.
Hizo dakika ni nyingi mnooo.... Huku watatumia dakika 10 na sekunde tanoBado samia ajiandae tena yeye dakika 30 tu zitatosha kumaliza mchezo!.
hahahah! Sipati picha huko alikojificha mapigo ya moyo yanavoenda kasi.Hizo dakika ni nyingi mnooo.... Huku watatumia dakika 10 na sekunde tano
Kwanini sasa??? Hawataki uchinga ama???