Ukisikia' Nitakuoa kumbe anakwepa matumizi

Ukisikia' Nitakuoa kumbe anakwepa matumizi

Baada ya kuburuzwa ndo unapata akili sio??
Wanaume wa siku hizi wamekuja na mbinu mpya ili aendelee kula mzigo kiulaini bila stress za hela

Wakishakutongoza,anaingiza ishu ya kukuoa,ili usiwe unamuomba hela mara kwa mara ,au ukimuomba akikwambia hana inakuwa ngumu kumuacha mwanaume kwa kutegemea mbeleni kuna ndoa kumbe siyo plan yao,utasubiri sana

Mwingine ukishatembea naye anaingjza swaga za kukuoa ili ajihakikishie umiliki na pia upunguze kiherere cha kuomba hela

Kumbe lengo akwepe matumizi sio kuoa

Wanawake shtukeni
 
Poleni sana...

Hii inatokana na lile swali pendwa wanawake mnalipenda sana " Utanioa lini?

Cc: mahondaw
 
.
tapatalk_1564374870596.jpeg
 
Wenzio hadi barua tunatoa tunaweka humo 20 elfu ili kujipa uhakika wa kwako huyu......baada ya hapo kinachoenda kutokea sasa
Wanaume wa siku hizi wamekuja na mbinu mpya ili aendelee kula mzigo kiulaini bila stress za hela

Wakishakutongoza,anaingiza ishu ya kukuoa,ili usiwe unamuomba hela mara kwa mara ,au ukimuomba akikwambia hana inakuwa ngumu kumuacha mwanaume kwa kutegemea mbeleni kuna ndoa kumbe siyo plan yao,utasubiri sana

Mwingine ukishatembea naye anaingjza swaga za kukuoa ili ajihakikishie umiliki na pia upunguze kiherere cha kuomba hela

Kumbe lengo akwepe matumizi sio kuoa

Wanawake shtukeni
 
Kuoa huwa ni matokeo ya kunogewa... Hakuna mtu huwa anapanga kuoa mwanamke fulani. Ila kadri unavyokaa naye ukanogewa naye, hapo sasa ndio unamtangazia ndoa, akikubali ndio mnaitangazia jamii ndoa... Ikikubali ndio ndoa inafungwa...
Punguzeni v2ko!
 
Anaegharamiwa ni mke tu, demu tu au mpenz atapewa hela pale inapobidi tena mara mbili au tatu basi..mana sisi wengine hatulali na dem mpenda hela zaid ya mara mbili
Kwa nini uingize suala la kuoa na sio target yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom