Ukisikia' Nitakuoa kumbe anakwepa matumizi

Wanaume wa siku hizi wamekuja na mbinu mpya ili aendelee kula mzigo kiulaini bila stress za hela

Wakishakutongoza,anaingiza ishu ya kukuoa,ili usiwe unamuomba hela mara kwa mara ,au ukimuomba akikwambia hana inakuwa ngumu kumuacha mwanaume kwa kutegemea mbeleni kuna ndoa kumbe siyo plan yao,utasubiri sana

Mwingine ukishatembea naye anaingjza swaga za kukuoa ili ajihakikishie umiliki na pia upunguze kiherere cha kuomba hela

Kumbe lengo akwepe matumizi sio kuoa

Wanawake shtukeni
umeshatoka dar ?
 
Tushashituka muda[emoji51]
 
Leo nimejifunza kitu
Wanawake hua wanaingia kwenye mahusiano ili wapate pesa
2 ili ulale nae basi Lazima umpe pesa..... Kama wakwangu nilikua Nampa ila still hakutulia yanini papala

#kidumu chama cha mabachelAa
 
Ulimpa sh ngapi Mkuu!
 
na nyie mmezidi kuomba omba hela mkajipange na ombaomba wenzenu kwenye mataa
 
Wanaume wa siku hizi wamekuja na mbinu mpya ili aendelee kula mzigo kiulaini bila stress za hela

Wakishakutongoza,anaingiza ishu ya kukuoa,ili usiwe unamuomba hela mara kwa mara ,au ukimuomba akikwambia hana inakuwa ngumu kumuacha mwanaume kwa kutegemea mbeleni kuna ndoa kumbe siyo plan yao,utasubiri sana

Mwingine ukishatembea naye anaingjza swaga za kukuoa ili ajihakikishie umiliki na pia upunguze kiherere cha kuomba hela

Kumbe lengo akwepe matumizi sio kuoa

Wanawake shtukeni
Unafaham wanawake ndiyo wanaongoza kwa udanganyifu katika uchumba?

Tatizo wanawake wengi wanafake maisha wakiwa katika uhusiano.
 
Wanaume wa siku hizi wamekuja na mbinu mpya ili aendelee kula mzigo kiulaini bila stress za hela
Wakishakutongoza,anaingiza ishu ya kukuoa,ili usiwe unamuomba hela mara kwa mara ,au ukimuomba akikwambia hana inakuwa ngumu kumuacha mwanaume kwa kutegemea mbeleni kuna ndoa kumbe siyo plan yao,utasubiri sana
Mwingine ukishatembea naye anaingjza swaga za kukuoa ili ajihakikishie umiliki na pia upunguze kiherere cha kuomba hela
Kumbe lengo akwepe matumizi sio kuoa
Wanawake shtukeni
This used to be an old school move, yet still effective
 
Unauza Siri Za kambi Dada,

Hili tumelijadili kwenye kikao kichopita Mmeo ndo kakuuzia hii siri..
 
Ina maana kama mtu asiyekwambia kuwa atakuoa ndo utazidi kumuomba pesa sasa tofauti yako na malaya iko wapi?
Navojua mwanamke anayejitambua huingia kwenye mahusiano ya malengo ya kuoana unless isitokee, kutumia mwili wako kama kitega uchumi ndo kauli ya wadada wasiopenda kutamkiwa ndoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom