Ukisikia' Nitakuoa kumbe anakwepa matumizi

Pamoja na kuwa hela nilikuwa nampa lakini hakuwa tayari kunivulia chuppi hadi nimuahidi kuwa nitamuoa, nikaona isiwe shida nikamuahidi nitamuoa- kudadadadaeq siku ile ile alijitengezea mazingira ya kuja kunipanulia na tulikesha tunasokotana kanona zaidi ya asali mbichi ile ya Tabora
 
Wanaume wa siku hizi wamekuja na mbinu mpya ili aendelee kula mzigo kiulaini bila stress za hela

Wakishakutongoza,anaingiza ishu ya kukuoa,ili usiwe unamuomba hela mara kwa mara ,au ukimuomba akikwambia hana inakuwa ngumu kumuacha mwanaume kwa kutegemea mbeleni kuna ndoa kumbe siyo plan yao,utasubiri sana

Mwingine ukishatembea naye anaingjza swaga za kukuoa ili ajihakikishie umiliki na pia upunguze kiherere cha kuomba hela

Kumbe lengo akwepe matumizi sio kuoa

Wanawake shtukeni
Hatukatai moja kwa moja kuombwa pesa maana ni jukumu letu kuwasaidia hata kama mnaishi nyumbani kwenu lazima mchango wangu kwako uonekane.

Ila nakuhakikishia; moja kati ya vitu wanawake wengi hawajui ni jinsi /namna /utaalamu wa kuomba pesa kutoka kwa mwanaume.

Naamini hakuna mwanaume mgumu kutoa pesa kwa mwanamke. Labda kama hujampa mdenge, anaweza shtuka ila kama mmeshakunjana! Lazima zitoke tu.
 
So huwa unafanyaje?

{Halafu kale kampango vipi mama.}

Anakupa hela penzi likiwa ndo linaanza,likishakolea mambo mengi
 
Huu ni mpango mkakati tulio panga vikao viwili vilivyo pita hiyo ni sehemu ndogo sana katika mipango yetu ya kula papa bila usumbufu
 
Hahahahah,kumbe ni kweli
Ndio mpango mzima baby ujue nini Kuna kiwanja nimenunua nianze kujenga ili hata nikikuoa tusiishi nyumba zakupanga. Alafu baby ujue namambo mengi sana kwahiyo wala usijali wewe nimke wangu mwishoni mwamwaka huu itabidi nilete barua kwenu maana kuishi single nimechoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom