Ukisikia mwanamke kujikubali Umbo lake ndo hivi (body positivity)

MumbaZ

Senior Member
Jan 28, 2018
133
124
Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao na kupiga picha na nguo zikionyesha maungo yao.. Je mdau we unahoja gani kuhusu hili?.

Mfano:

 
Back
Top Bottom