Ukisikia maendeleo ndio hayo!!

mpaka ladha ya mkate kapoteza mdomoni
 

Attachments

  • 567567567.jpg
    567567567.jpg
    56.6 KB · Views: 66
kasoro kidogo akaungue na mbolea za kipakistani kwenye huo mtaro
 

Attachments

  • b.jpg
    b.jpg
    57.5 KB · Views: 98
wa huku bongo wakiona gari huikimbia,kumbe si binadamu tu wanaoenda ulaya hustaarabika mpaka wanyama!!
 

Attachments

  • g.jpg
    g.jpg
    33.7 KB · Views: 48
likitoka hapo kwenye kioo ujue kwisha khabari yako!
 

Attachments

  • a (1).jpg
    a (1).jpg
    32.3 KB · Views: 59
naona hata yule msanii wa bongoflava aliyeimba wimbo wa NANILIU NANILIU hamfikii jamaa kwa domo......
 
zitajengewa wapi maana hakuna hata provision za kupanua barabara, labda mvunje majengo

Kukiwa na dhamira ya kweli sio tatizo kuudump huu mji na kujenga mji mwingine wa kisasa zaidi wenye ramani inayoeleweka. Kazi ya serikali ni kusurvey, kuweka huduma muhimu na kuuza viwanja kwa makampuni, taasisi na raia.
 
Back
Top Bottom