Ukisikia jina la beki Kelvin Yondan unakumbuka wapi?

Ukisikia jina la beki Kelvin Yondan unakumbuka wapi?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,132
Reaction score
9,687
haya leo tumkumbuke legend mwenyewe Kelvin Yondan Engineer Cotton Juice Pamba. Unamkumbuka Yondan kwa lipi?
 
Mie namkumbuka kwenye Fainali ya Afrika Mashariki na Kati mwaka 2013 kama sikosei. Inapigwa Krosi dakika ya 116 badala ya kuruka anainama then Fowadi wa Yanga anafunga goli. Nilim mind sanaaa
 


Pitia hiyo link angalia Yondani anainama then Kenneth Asamoah anafunga goli

Ilikuwa 2011
 
Back
Top Bottom