mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
kwani mkuu baada ya kumnyima nauli demu wako,kisha akasema haji halafu ukamwambia sawa usije.unakuwa umekosea wapi?Wewe msukule wangeshiriki vipi huku fomu walijaza vibaya?? Au mnasahau hizo kauli nyinyi vilaza??
mimi ninavyofahamu,ilitakiwa wautangazie uma kwamba wamefanyiwa figisu,kisha tuende kwenye box la kura tukijua hivyo.
mambo ya kususa/kuzira zira ni dalili ya utoto.